Ukiandaa dodoso kama hili na ukapitisha vyuo vikuu, majibu utakayopata unaweza kutamani kuhama nchi

Wanafunzi wa vyuo siku hizi hakuna kitu mahall mengi story n Diamond tena kwa mabint ndio hopeless kabisa hawapati hata uwape kwenye group
 
Andaa dodoso yenye maswali haya na kisha uipitishe vyuo vikuu uombe wanafunzi wakujazie.Majibu utakayopata yatakusaidi kujua ni kwanini tuko hapa tulipo kama Taifa.

Maswali:

1.Taja jina la Msajili wa vyama vya siasa hapa nchini

2.Naibu Spika wa Bunge lililopita (Bunge la 10) alikuwa nani

3.Taja jina la aliekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

4.Taja vyama vya siasa vinavyounda umoja wa UKAWA

5.Samweli Sitta alikuwa Spika wa Bunge la ngapi

6.Taja jina la mwanamke aliegombea uraisi katika uchaguzi mkuu uliopita

7.Taja jina la chama ambacho mwanamke huyo alitoka

8.Taja jina la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

9.Taja jina la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

10.Taja kirefu cha chama siasa kinachojulikana kwa kifupi kama CUF.

11.Katiba ya Tanzania ni Katiba ya mwaka gani.

12.Peter Msigwa ni mbunge kutoka mkoa gani

13.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaitwa nani

14.Taja jina la kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni

15.Taja kirefu cha neno UKAWA

16.Maandamano ni haki ya kikatiba au uamuzi wa Jeshi la Polisi

17.Deni la Taifa kwa sasa ni kiasi gani

18.Mfumo wa vyama vingi hapa nchini ulianza rasimi mwaka gani

19.Nani kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni

20.Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ni kiasi gani.

21.Katibu wa Baraza la Mawaziri ni nani/huwa na cheo gani?

Ninaamini majibu ya maswali haya yatakusaidia kujua ni namna gani watanzania tunafuatilia habari za siasa na wanasiasa na hivyo itakupa picha kama wanaweza kuchagua kiongozi bora au bora kiongozi.

Majibu utakayopata, yataonesha kuna makundi matatu ya wanafunzi wa vyuo hivyo:-

1) Wako wanafunzi wanaojielewa wako vyuoni na wanajua kwanini wapo vyuoni. (25%).

2) Wako wanafunzi ambao wanajua wako vyuoni lakini hawajui wanatakiwa kufanya nini. (50%).

3) Wako wanafunzi ambao kwa miujiza, wamejikuta wakiwa vyuoni. (25%).
 
Siasa zenyewe hizi za Afrika kwa kweli hata ukienda mtaani atakayepata mengi masawali matano
 
Hilo dodoso lazima washindwe. Hivi mtu unamuuliza Msigwa ni mbunge wa wapi...hivi Msigwa anao umaarufu gani wa kujulikana hata kwa wasomi aha!!!
 
Kama mimi swali ambalo jibu linaelement na rangi ya kijani nsingejibu...
 
tutawajua zaidi watu kwa matendo yao na si kwa majina na vyeo pekee!
 
Maswali mengine ambayo vijana wetu watajibu kwa haraka:
3. Ronaldo anachezea timu gani.....
4. Ni nani bingwa wa ligi kuu ya Uingereza....
5. Baba yake Rooney anaitwa nani.....
6. Messi anatoka nchi gani....
6. Michael Jackson alikuwa anatoka nchi gani....
7. Wimbo wa Chura uliopigwa marufuku ulitungwa na msanii gsni......

Hahahaaa acha kuwa undermine wasomi wetu japo kweli huwa wanajishughulisha na mambo ya ajabu ajabu ambayo hayana faida kwao, labda ni huu utandawazi
 
Andaa dodoso yenye maswali haya na kisha uipitishe vyuo vikuu uombe wanafunzi wakujazie.Majibu utakayopata yatakusaidi kujua ni kwanini tuko hapa tulipo kama Taifa.

Maswali:

1.Taja jina la Msajili wa vyama vya siasa hapa nchini

2.Naibu Spika wa Bunge lililopita (Bunge la 10) alikuwa nani

3.Taja jina la aliekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

4.Taja vyama vya siasa vinavyounda umoja wa UKAWA

5.Samweli Sitta alikuwa Spika wa Bunge la ngapi

6.Taja jina la mwanamke aliegombea uraisi katika uchaguzi mkuu uliopita

7.Taja jina la chama ambacho mwanamke huyo alitoka

8.Taja jina la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

9.Taja jina la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

10.Taja kirefu cha chama siasa kinachojulikana kwa kifupi kama CUF.

11.Katiba ya Tanzania ni Katiba ya mwaka gani.

12.Peter Msigwa ni mbunge kutoka mkoa gani

13.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaitwa nani

14.Taja jina la kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni

15.Taja kirefu cha neno UKAWA

16.Maandamano ni haki ya kikatiba au uamuzi wa Jeshi la Polisi

17.Deni la Taifa kwa sasa ni kiasi gani

18.Mfumo wa vyama vingi hapa nchini ulianza rasimi mwaka gani

19.Nani kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni

20.Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ni kiasi gani.

21.Katibu wa Baraza la Mawaziri ni nani/huwa na cheo gani?

Ninaamini majibu ya maswali haya yatakusaidia kujua ni namna gani watanzania tunafuatilia habari za siasa na wanasiasa na hivyo itakupa picha kama wanaweza kuchagua kiongozi bora au bora kiongozi.
Ngoja nijibu kiukweli kuwakilisha Mtanzania wa kawaida, Salary Slip usahihishe unipe marks zangu.

1.Jaji Damiani Lubuva
2.Job Ndugai
3.Jaji J Warioba
4.Chadema,NCCR Mageuzi,CUF
5.la kumi
6.Simkumbuki
7.ACT-Wazalendo
8.Jaji D Lubuva
9.J. Jecha
10.Civic United front
11.Sijui
12.Iringa
13.A Kinana
14.F Mbowe
15.Umoja wa Katiba ya Wananchi
16.Haki ya kikatiba
17.tzs 1m kwa kila mwanachi
18.1992
19.Waziri Mkuu
20.sijui
 
Hata ikiwa watu wana interest tofauti inabidi walau mtu afahamu majibu ya nusu ya maswali haya. Kumbukeni siasa ndiyo injini /engine ya kila kitu na ndiyo inayokutengenezea hizo interest zako. Sera za kisiasa na wanasiasa ndyo kila kitu ktk nchi. Hata hali ya nchi yetu leo uionayo pengne ni kutokana na siasa na wanasiasa waliotutawala ktk nyakati tofauti.
 
Upeo wao wa mambo wanafunzi wa siku hizi ni mdogo sana,ndio maana huwezi siku hizi ukasikia wanapinga uovu wowote unaotokea kwenye jamii,hakuna kugomea uvunjifu wa haki za binadamu,hakuna midahalo.Wapo wapo tu...kama UD zamani Enzi za kizazi cha kina Sitta,kina JK, Mbatia na Zitto ilikuwa kisima cha maarifa na mapinduzi ya fikra...sasa hivi wamekuwa hohehahe...wanasubiri wapewe elfu kumi wavuruge midahalo ya katiba nk...

SAHIHISHO

NDUGU napenda kukutaarifu kuwa ynachosema ni sawa kwake % fulani ila sio zote .
Udsm kuna watu makini saana ktk taasisi za elimu ya juu ambao hawapo ktk taasisi nyingine.
Ntakupa matukio.
@ unatakiwa uwe muudhuriaji mzuri Wa matukio kama kigoda cha mwalimu kujionea ujengaji hoja wao.

b uwe unaudhuria siku ukisikia wanataka kugoma, migomo haianzi hivihivi lazima watu wajusanyike rev square mabibo block G hapo ndipo wanapojadiri mpka kufikia muafaka nini kufanyike na utekelezaji wake unakuwa main campus.

Binafsi nilikutana peslrsonally na kuwasikiliza wanaharakati ambao walifukuzwa 2011 na wengine waliposhinda kesi mahakamani walirudi pale 2012 wakiwa na onyo kuwa hawaruhusiwi ktk mkusanyiko na yeyote kitu kingepelekea kufukuzwa chuo. Pamoja na hayo yote wale jamaa walikuwa hawajarudi nyuma ktk wanachokiamini, mmoja wao alinidokeza kuwa ktk system ya chuo (aris) wote wale walikuwa na alama za njano kuashiria ni hatari. Wawili kati yao kutoka conas walishindwa kumaliza chuo 2015 baada ya kufukuzwa 2014 kufuatia misimamo yao na wanavyoamini. Kumbuka hao ni wale waoioshinda kesi ya kufukuzwa2011.
Nilipokuwa ktk kigoda 2015 VC aliulizwa direct question na mwanafunzi Wa mwaka Wa 4 sheria kuhusu hao jamaa kufukuzwa. Hivi can you ask Mkandara such a question ? Only when you are not scared and have ability to argue and confront ur opponent through reasonable arguments. Kitu amabcho vyuo vingine hawawezi .
 
Da... kwan chuo muda wte wanasoma siasa... coz hyo aisaidii chchte kwny elimu ya chuo.. na kila mtu ana interest zake
 
Back
Top Bottom