Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

2.jpg

Kuna sababu nyingi ambazo
husababisha mwanamke
kutoa ute au majimaji

yasiyo ya kawaida kutoka kwenye sehemu zake za

siri. Maambukizi ya bacteria

wanaosababisha magonjwa

kama Trichomoniasis,

Candidiasis, Gonorhear au

uambukizo wa bacteria Candida albicans, Vaginosis

Bacteria n.k husababisha


mwanamke kutokwa na

uchafu unaoambatana na

harufu mbaya.

Pia mabaki ya vitambaa, tissue au pedi ambazo

hazikutolewa wakati wa

hedhi huweza kusababisha

tatizo hili. Usafi wa sehemu

za siri usipozingatiwa

hususani mwanamke anapokuwa kwenye siku

zake za hedhi, huweza

kuwa mazalia mazuri ya

bacteria wanaosababisha

harufu mbaya.



DALILI ZA UGONJWA WA VAGINOSIS

Mwanamke mwenye tatizo

la Vaginosis huwa na dalili

kubwa ya kutokwa na

ute na majimaji yasiyo ya

kawaida (Uchafu) kutoka sehemu za siri. Uchafu huu

huwa unatoa harufu kali

kama shombo ya samaki au

kitu kilichooza na

huambatana na maumivu

makali ya tumbo chini ya kitovu.

- Wakati mwingine uchafu

wenye rangi kama ya kijani

hutoka

- Kuwashwa na

kuchomachoma sehemu za siri, mgonjwa asipopatiwa

tiba haraka husababisha

vidonda sehemu za siri.

- Mwanamke anapoona

anatokwa na ute

uliochanganyika na na damu hata kama hayupo

kwenye siku zake, hii ni

dalili nyingine ya Vaginosis.

- Maumivu makali wakati

wa tendo pia ni dalili za

ugonjwa huu.



MATIBABU

Tatizo hili hutibika

hospitalini baada ya vipimo

vya kitaalamu kuchukuliwa

na daktari au nesi mwenye

uzoefu wa kutosha juu ya magonjwa ya wanawake.

Dawa za kupaka

(Ointment/ Cream) na dawa

za kumeza (Pills) huweza

kumaliza tatizo hili.



Kumbuka: Ni makosa kutumia dawa bila kupata

ushauri wa kitaalamu

kutoka kwa daktari au

nesi.
 
hii wanajf.........hivi mwanamke kutoa uchafu ukeni ni ugonjwa? na je kama uchafu huo unanuka ni ugonjwa gani na nini chanzo cha huo ugonjwa................................................... zen mwanamke kuumia wakati wa sex ni ugonjwa au ni nini tatizo la hayo maumivu msaada plzz hvng gud women day.
 
Haya maneno uliotumia hapo ndio yanasababisha saa nyingine hiyo kitu iliotukuka inaonekana kama ni sehemu iso na maana kabisa na kusababisha watu wengine kutumia kutukania watu,hivi umeshindwa kutumia neno kama 'kunatoka majimaji yenye rangi'........au 'majimaji yanyotoa harufu kali' natumaini wewe ni mwanamke ina takiwa utumie maneno yenye kuleta ladha ambayo yataifanya hiyo kitu iwe juu always,umenielewa?????????
[h=2]Uke kunuka na maumivu wakati wa sex[/h]
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu kujua bila kupata maelezo ya kina, vizuri ukafuata ushauri hapo juu. uoanane na dr as soon as possible
 
hii wanajf.........hivi mwanamke kutoa uchafu ukeni ni ugonjwa? na je kama uchafu huo unanuka ni ugonjwa gani na nini chanzo cha huo ugonjwa................................................... zen mwanamke kuumia wakati wa sex ni ugonjwa au ni nini tatizo la hayo maumivu msaada plzz hvng gud women day.

Sehemu pekee inayopaswa kutoa uchafu katika mwili wa mwanadamu ni Mkund.u pekee...
Sasa kama uke unatoa uchafu, kuna kila dalili za infections na dalili mojawapo ni kuwa na harufu mbaya.
Kujua chanzo cha ugonjwa ni vyema uonane na daktari kwa uchunguzi zaidi.

Maumivu unayozungumzia ni ya namna gani?
 
Maelezo yako hayajitoshelezi ni kama kuna vitu unaficha ila nachoweza kukuambia ni hiki:

Kawaida uke hautoi harufu, kama kuna uchafu unatoka na unakuwa na harufu, maumivu wakati wa kukojoa na kupata maumivu wakati wa kufanya mapenzi uwezekano mkubwa labda ni PID ( Pelvic Inflammatory Disease)..ni ugonjwa hatari unaweza kukufanya uwe mgumba ukichelewa tiba kwani husababisha mirija kuziba. Cha muhimu kamwone daktari,
 
Zinaweza kuwa dalili za fungus,pia fungus husababisha maumivu wakati wa sex. nenda hospital wakakupime.usisahau kumpeleka na mwenza wako
 
Unashangaa nini? ivi wadhan uko ndani kwenu huwa pasafi? hata siku moja. na km pasingekuwa patamu sidhani km kna mwanaume angepazimikia. pia kwa sura yake ilivo mbaya kuliko zaidi panaokolewa na utamu wake tu.
 
hii wanajf.........hivi mwanamke kutoa uchafu ukeni ni ugonjwa? na je kama uchafu huo unanuka ni ugonjwa gani na nini chanzo cha huo ugonjwa................................................... zen mwanamke kuumia wakati wa sex ni ugonjwa au ni nini tatizo la hayo maumivu msaada plzz hvng gud women day.

lerato,

Kwanza:
Mwone daktari haraka kwakuwa tunachoweza kushauri hapa ni bila kuuona ugonjwa wako na kujua ukubwa wa tatizo. Kama upo Dar, nenda TMJ kuna daktari mzuri wa wanawake (mdada) na mweleze shida yako bila kuficha.

Pili:
Soma hapa pana msaada wa maana - https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/80748-tatizo-la-uke-kutoa-harufu-kali-%7C-vaginal-odor-smell.html

W/end njema

Unasema (umeandika) akamwone daktari kwani yeye kasema ndiye anayesumbuliwa na hilo tatizo?
 
invisible hajasema kama huyu ameukwaa gono. kashauri amuone daktari. haihitaji kuwa rude hapa; kutokwa uchafu ukeni sio lazma iwe ni gonjwa la zinaa.

Inaelekea wewe ni mmoja wa wale form 4, hebu soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka kama umekurupushwa usingizini
 
Katika pita pita zangu kule Mwanarumango nilikutana na hizi tips, Ladies explore your potential.

NAMNA YA KUTUNZA UKE WAKO

Lather up a washcloth with some mild antibacterial soap and water. Avoid using soaps with heavy perfumes, which may irritate the sensitive skin around your vagina.

Clean the folds around your clitoris. Use your fingers to pull your vulva away from your clitoris. Gently scrub the skin on both sides of your clitoris with the washcloth.

Wash your vulva and your vaginal opening. Also, scrub around your bikini line.

Scrub your perineum. The perineum is the area between your vagina and your anus. Germs can accumulate here, especially if you wipe from back to front after you have a bowel movement.

Wash your anal area last. Keep your washcloth from touching your vaginal area after you've washed your anus. Doing this will ensure that you don't drag rectal germs toward your vaginal area. These germs can cause you to get urinary tract infections.

Wash your vagina at least once per day. If you have sex, you may want to wash it a second time if you're worried about how your body's scent interacts with the scent of semen.

Keeping Yourself Smelling Fresh

Trim, wax or shave your pubic hair. Thick pubic hair can cause you to sweat down below, which may make you have some issues with odor.

Stay clean during your period. Change your pad or your tampon frequently, according to the directions on the package. If you're worried about how you smell when you're having your period, you can wash your vagina 2 or 3 times a day.

Wear cotton underwear. Breathable fabric helps to prevent vaginal odor.

Try a reusable pantyliner. The idea of reusing and washing your pantyliners may seem strange at first, but the cotton will help your vagina to breathe while absorbing any excess discharge. If you like the way they make you feel, you can graduate to reusable cotton menstrual pads or menstrual cups.

Bathe as part of your foreplay. So are you worried that your partner won't like your scent? Take a sexy shower or a steamy bath before you have sex. Let your partner wash your vagina for you. Who knows? It might lead to all kinds of fun.

Tips

To prevent odor, make sure that you wipe the area around your clitoris with toilet tissue every time you urinate. Urine and vaginal secretions can accumulate in this area and can give you that not-so-fresh feeling.

Vaginas aren't meant to smell like baby powder or fields of flowers. If you're really worried about how you smell, it's okay to talk to your partner about it. You'll probably find out that everything is fine. And if your clean scent is a turnoff, maybe you need a new partner.

If you're concerned about a persistent, strong odor in your vaginal area, visit your gynecologist. Your gynecologist can test you for an infection and can prescribe an appropriate medication or topical cream if you need one. You can also talk to your gynecologist if you're worried about odor and cleanliness.

Be careful when washing your vagina, its not a race. Don't rush. Take your time because you don't want to irritate your skin.

Warnings

Avoid washing inside your vagina. You don't want to upset the pH balance of your vaginal walls. Also, you don't want to wash away all of your vaginal secretions because they are nature's cleaning mechanism for your vagina.

Skip douches and feminine deodorant sprays. Douches can upset the natural bacterial balance in your vagina. Also, both douches and feminine sprays can irritate the sensitive skin in your vaginal area.

Things You'll Need

Washcloth or loofah

Mild, perfume-free soap
 
Tatzo lugha mimi na wewe tutaelewa na user wengine je?
Af ndo unaweza kuta wapo ktk wakati mgumu ktk ndoa lkn lugha!!
Jaman kiswahili ishakuwa lugha ya kimataifa why kiingereza tu
ndo maana kuna watu walijua umuhimu wa hii lugha adhimu ya kiswahili ndo maana wakaweka BBC swahili!!
Sasa wewe title swahl topc kiingereza!!
 
gody hiyo material hapo juu kwa kiswahili haifai hata kusema. Nisaidie kutafsiri naona una courage.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom