Kama huu ni utafiti basi ni kama ule wa Mayocoo, inawezekana una ukweli lakini hautoi tafsiri ya kweli ya aina ya wapiga kura.
kama leo.ingekuwa siku ya uchaguzi mgombea gani ungemchagua...naomba andika jina tu.
Naomba sana uzi huu usifutwe..sbb najua unaweza kufutwa...tunataka ukweli..sbb waliomo jf ni zaidi ya hao waliwoojiwa na twaweza....hapa ni ukweli tu

Acha uswahili mama! We umeambiwa upige kura, hayo mengine ya nini?? Au hujielewi?
Lowasa