UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Kama hali itakuwa hivi ilivyo au UKAWA wataongeza moto na kubadili gia hewani...basi Lowassa ( UKAWA) will win with LAND SLIDE VICTORY...!!!

Hakuna cha a, e, i, o, u hapa, parapanda ishalia, hakuna CCM pa kuponea...

Kila mtu, kila, mtaa, wilaya, Mikoa, Miji ni UKAWA, LOWASSA...

Margin errors +/- 2%, Lowassa 82%, Magufuli 17%...., 1% undecided voters..!!

In short, my predictions always will never go wrong...!!!

Sio kuwa tatizo ni MAGUFULI...la harsha...TATIZO NI CCM, as well TIME...!!!

It is TIME for CHANGE...period..!!!

No way out, No way in, No mess, Not me.. No is No...!!!

Lowassa, Mbowe, Mbatia, Makaidi, Maalim Seif, these are Most Genius Tanzanians in Tanzania Political history...!!!

Lowassa kama Yesu, Mbowe kama Yohana Mbatizaji...!!!

WATAISOMA NAMBA...!!!!

Uko sahihi
 
Zibadilishe ndo upate jibu lililosahihi bwana mdogo! I mean Magufuli 82% na Fisadi 17%
 
Kama hali itakuwa hivi ilivyo au UKAWA wataongeza moto na kubadili gia hewani...basi Lowassa ( UKAWA) will win with LAND SLIDE VICTORY...!!!

Hakuna cha a, e, i, o, u hapa, parapanda ishalia, hakuna CCM pa kuponea...

Kila mtu, kila, mtaa, wilaya, Mikoa, Miji ni UKAWA, LOWASSA...

Margin errors +/- 2%, Lowassa 82%, Magufuli 17%...., 1% undecided voters..!!

In short, my predictions always will never go wrong...!!!

Sio kuwa tatizo ni MAGUFULI...la harsha...TATIZO NI CCM, as well TIME...!!!

It is TIME for CHANGE...period..!!!

No way out, No way in, No mess, Not me.. No is No...!!!

Lowassa, Mbowe, Mbatia, Makaidi, Maalim Seif, these are Most Genius Tanzanians in Tanzania Political history...!!!

Lowassa kama Yesu, Mbowe kama Yohana Mbatizaji...!!!

WATAISOMA NAMBA...!!!!

✌✌✌✌✌✌✌✌

Hata kula ya maoni alitegemea ashinde kwa kiwango hicho hicho lakini matokeo yakawa hasi (-). Dalili za mvua ni mawingu. Jinamizi la mkosi na kushindwa litaendelea kumuandama tu mpaka mwisho wa maneno. Ataishia kusoma namba mwaka huu. Na hii laana inatokana na kukataa madaraka mwenyewe, kwanini alijiuzulu u PM. Nyota yake katika siasa imeisha kuwa nyeusi na haiwezi badilika.
 
Ni kweli kuwa UKAWA wana nafasi nzuri ya kushinda uchaguzi .

Hata hivyo tusianze kusherekea mapema, inabidi tujipange kwa mikakati ya kuzuia wizi wa kura.

Tunahitaii mtandao mrefu wa wawakilishi wa kulinda kura zetu.

Wapinzani wetu wana watu wao karibu kila mahala .

Kumbuka wakuu wa wilaya ni wawakilishi wa wapinzani. Baada ya wakuu wa wilaya watatumia, wakuu wa tarafa na viongozi wa kata.

Ukijumuisha wale wanaoitwa returning officers. Hushirikiana na hao viongozi wengine wanaounga mkono wapinzani wetu

Kazi yetu mojawapo sasa hivi tuanze kutayarisha wawakilishi wasioyumba wa kutuwakilisha kila mahali.

Tukumbuke wakati wa uchaguzi wa 1995 , Chama cha UDP walishangaa sana walipopata matokeo yao ya uraisi kwa mkoa wa Kigoma, kwa kipindi kile Bwana. Mapesa , Mh. Cheyo alipata kura 4 tu mkoa mzima wa Kigoma.

Inamaana chama hakikuwa na wanachama Kigoma ?

Ndio kiwango cha wizi wanaoweza kufanya hawa wapinzani na sasa hivi wanatumia kila mbinu.
 
CCM wanasema Lowassa hawezi enda magogoni.
Sababu ni ile dhana inayojulikana kama Party Supremacy.
Kwamba Chama kina nguvu kuliko kitu kingine chochote.
Yaani kwa kifupi ni kwamba hata mkuu wa majeshi na wakubwa wa vyombo vya usalama kwa siasa za hapa kwetu wako chini ya chama na wanatii amri ya chama.
Sijui wadadavuzi wa mambo kuna ukweli wowote kwenye hili?
CC: Pasco, MWANAKIjiji, Watu8, MNYISANZU, Ben Saanane, Tumaini Makene, Fanfa, tycoon, et al
Not this time, wanajeshi ni watu wenye uelewa mpana wanajua mahitaji ya nyakati,sidhani kama wanaweza kutumia nguvu kulinda chama kilichoshindwa.
 
Last edited by a moderator:
CCM wanasema Lowassa hawezi enda magogoni.
Sababu ni ile dhana inayojulikana kama Party Supremacy.
Kwamba Chama kina nguvu kuliko kitu kingine chochote.
Yaani kwa kifupi ni kwamba hata mkuu wa majeshi na wakubwa wa vyombo vya usalama kwa siasa za hapa kwetu wako chini ya chama na wanatii amri ya chama.
Sijui wadadavuzi wa mambo kuna ukweli wowote kwenye hili?
CC: Pasco, MWANAKIjiji, Watu8, MNYISANZU, Ben Saanane, Tumaini Makene, Fanfa, tycoon, et al

That was OLD FOLKS mentality....!!!

Right now, vitu viko tofauti...!!!

POLICE wako fair almost 90% wanalinda mikutano yote kwa haki...!!! na Police ni wahanga wakubwa wa UMASKINI ulioletwa na CCM, so hata Police karibu wengiiii sasa 80% ni UKAWA...hiyo ni hint nakupa tu...

Jeshi haliwezi jiingiza ktk SIASA... hilo halipo...

Again,.TIME...kila mmoja anaona nchi zooote, including KENYA...mabadiliko hayakwepeki...!!! Na wananchi almost 95% wana ELIMU KUBWA SANAAAA YA URAIA na kudai haki zao kwa kishindo...
Na wananchi 90% wako tayari kwa mabadiliko...!!!

So hakuna vyombo vya Usalama vinaweza kushindana na PEOPLES' Power....!!!!! HAKUNA....hali kama ya jana ni hatariiii, sasa ARUSHA, MWANZA, MBEYA, IRINGA, SONGEA, PWANI, ZANZIBAR, PEMBA, MTWARA, MOROGORO, SHINYANGA, PWANI, MANYARA, ni GHARIKAAAAA LA KUFA MTU...

Katika mikoa na miji hiyo MTASHUHUDIA MAAJABJ YA GHARIKA.....mtashanangaa na kukosa maneno ya kuandika...sbb WATU WAMEAMUA SASA...!!!

Once TIME is up, is UP...period...!!!

Time for CCM, is UP...!!! Hakuna jinsi...!!!

It is TIME for CHANGE...!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama hali itakuwa hivi ilivyo au UKAWA wataongeza moto na kubadili gia hewani...basi Lowassa ( UKAWA) will win with LAND SLIDE VICTORY...!!!

Hakuna cha a, e, i, o, u hapa, parapanda ishalia, hakuna CCM pa kuponea...

Kila mtu, kila, mtaa, wilaya, Mikoa, Miji ni UKAWA, LOWASSA...

Margin errors +/- 2%, Lowassa 82%, Magufuli 17%...., 1% undecided voters..!!

In short, my predictions always will never go wrong...!!!

Sio kuwa tatizo ni MAGUFULI...la harsha...TATIZO NI CCM, as well TIME...!!!

It is TIME for CHANGE...period..!!!

No way out, No way in, No mess, Not me.. No is No...!!!

Lowassa, Mbowe, Mbatia, Makaidi, Maalim Seif, these are Most Genius Tanzanians in Tanzania Political history...!!!

Lowassa kama Yesu, Mbowe kama Yohana Mbatizaji...!!!

WATAISOMA NAMBA...!!!!

kiporo cha ugali wa Dona na maziwa mgando unapata usingizi. na ndoto zake Ni zile unaota Kama unatumbukia kwenye Shimo reeeeefu na baada ya hapo unaamka.. hiyo prediction sijui ume analyze kutokana na categories na look up vectors zipi.. kwenye politics hasa zenye Wapiga kura ambao kwao Elimu ya uraia ikiwemo uchujaji wa mbivu na mbichi kutoka kwa wagombea ni hafifu,kubashiri kwa tofauti kuuuuubwa kiasi hiki nikuonyesha pia ufinyu wako na upeo wenye mgandamizo wa kihafidhina ulio nao.
rudi darasani ukajifunze siasa uje uwe mchambuzi mzuri
 
Kwa dalili hizi basi nakubaliana na mtoja hoja asilimia mia.

11056643_707302826079933_6080818835426121834_n.jpg
 
Ni kweli kuwa UKAWA wana nafasi nzuri ya kushinda uchaguzi .

Hata hivyo tusianze kusherekea mapema, inabidi tujipange kwa mikakati ya kuzuia wizi wa kura.

Tunahitaii mtandao mrefu wa wawakilishi wa kulinda kura zetu.

Wapinzani wetu wana watu wao karibu kila mahala .

Kumbuka wakuu wa wilaya ni wawakilishi wa wapinzani. Baada ya wakuu wa wilaya watatumia, wakuu wa tarafa na viongozi wa kata.

Ukijumuisha wale wanaoitwa returning officers. Hushirikiana na hao viongozi wengine wanaounga mkono wapinzani wetu

Kazi yetu mojawapo sasa hivi tuanze kutayarisha wawakilishi wasioyumba wa kutuwakilisha kila mahali.

Tukumbuke wakati wa uchaguzi wa 1995 , Chama cha UDP walishangaa sana walipopata matokeo yao ya uraisi kwa mkoa wa Kigoma, kwa kipindi kile Bwana. Mapesa , Mh. Cheyo alipata kura 4 tu mkoa mzima wa Kigoma.

Inamaana chama hakikuwa na wanachama Kigoma ?

Ndio kiwango cha wizi wanaoweza kufanya hawa wapinzani na sasa hivi wanatumia kila mbinu.
hamna wizi wa kura yoyote mkuu, ukawa wanaanguka mapema kabisa.
 
kwa mfumo wetu ulivyo TISS na Vyombo vingine vya dola hufanya kila wawezalo kuhakikisha CCM inashinda ki mbinu na kimikakati. Wanafanya hivyo kulinda nafasi zao, kumbuka serikali ikibadilika kwa nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa majeshi, TISS, Police na wale senior officers wanaweza kupoteza nafasi zao. hata ungelikuwa wewe lazima ungefanya hivo. Hata Jaji Lubuva naye lazima alinde maslahi binafsi. Ni vigumu kumtenganisha Mwnyekiti wa tume ya uchaguzi, Mkuu wa TISS, Police, Jeshi nk na CCM kwenye mikakati ya ushindi.

Tunahitaji muujiza utokee na nguvu za mungu ndo upinzani washinde au kupewa nchi

CCM wanasema Lowassa hawezi enda magogoni.
Sababu ni ile dhana inayojulikana kama Party Supremacy.
Kwamba Chama kina nguvu kuliko kitu kingine chochote.
Yaani kwa kifupi ni kwamba hata mkuu wa majeshi na wakubwa wa vyombo vya usalama kwa siasa za hapa kwetu wako chini ya chama na wanatii amri ya chama.
Sijui wadadavuzi wa mambo kuna ukweli wowote kwenye hili?
CC: Pasco, MWANAKIjiji, Watu8, MNYISANZU, Ben Saanane, Tumaini Makene, Fanfa, tycoon, et al
 
Kama hali itakuwa hivi ilivyo au UKAWA wataongeza moto na kubadili gia hewani...basi Lowassa ( UKAWA) will win with LAND SLIDE VICTORY...!!!

Hakuna cha a, e, i, o, u hapa, parapanda ishalia, hakuna CCM pa kuponea...

Kila mtu, kila, mtaa, wilaya, Mikoa, Miji ni UKAWA, LOWASSA...

Margin errors +/- 2%, Lowassa 82%, Magufuli 17%...., 1% undecided voters..!!

In short, my predictions always will never go wrong...!!!

Sio kuwa tatizo ni MAGUFULI...la harsha...TATIZO NI CCM, as well TIME...!!!

It is TIME for CHANGE...period..!!!

No way out, No way in, No mess, Not me.. No is No...!!!

Lowassa, Mbowe, Mbatia, Makaidi, Maalim Seif, these are Most Genius Tanzanians in Tanzania Political history...!!!

Lowassa kama Yesu, Mbowe kama Yohana Mbatizaji...!!!

WATAISOMA NAMBA...!!!!

Well Said Mkuu, ila kiuhalisia zaidi, ukipunguza kwa EL almost 20% zitakazopotelea ktk kujinusuru kupitia 'MAGOLI YA MIKONO' utafikia kuwa 'POMBE' anapata 35% na LOWASSA 60% na itakayobakia 5% inaenda kwa Wasaliti, et al!...

....saa ya kufa miti, nyani wote huteleza, sorry, the opposite is true'....CCM iliwahi kuishi TZ, sio kizazi cha sasa...bye byee, the chlorophyll
 
Vijana wa ccm na wanufaika wa ccm walio zowea kula bila jasho matumbo yanawauma kwa huu ukweli hakuna njia ya ccm kubaki madarakani!!
 
It doesn't matter who wins cause in the end mi naona ni CCM vs CCM mwaka huu, sioni CCM vs UKAWA...
Unajua watu wana-underestimate the power of one person, hawa candidates sio kwamba wako driven by maamuzi ya chama, they are capable of changing anytime na wakaipeleka nchi pabaya, rais ni moja ya watu muhimu sana nchini na they shouldn't be taken lightly coz wana-belong chama flani, hujaona burundi Rais mtu mmoja tu kitendo cha mgomo wake nchi watu wamekufa wengi tu, My point is, sometimes tusiangalie chama, tuangalie mtu kama mtu coz they can also make their own decisions against chama wanapokua madarakani n chama kikashindwa kumfanya chochote.

I would have accepted anyperson from UKAWA ila not this guy, hes pure CCM, anaweza kushinda, nobody knows, ni personal preference tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom