UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Miaka 5 iliyopita CCM ilikuwa bado ina nguvu na walifanya kampeni kubwa za nguvu, matokeo yaliyopatikana ni asilimia 61% za ushindi, leo hii sijui itakuwaje wakati:

(1) Hali ya mwamko wa kisiasa imebadilika sana
(2) CCM sio wamoja tena kwani hata ndani ya chama hakuna amani
(3) Vitendo vya kuudhi vya kifisadi na anguko la uchumi wa nchi yetu, madeni yasiyolipika, huduma zisizoridhisha nk
(4) Kutowajali wananchi/wanachama na kujifanya chama ni cha watu wasiozidi 20
(5) Nguvu ya vyama vya upinzani na uwezo wao wa kujenga hoja.
(6) Kutokuwa na mtu mwenye uwezo wa kugeuza mawazo ya watanzania kama Mwalimu Nyerere.
(7) Dharau na jeuri la katibu mwenezi ndugu Nape kwa watendaji na viongozi wengine wa ccm walioko chini.
Haya ni baadhi ya mambo machache ila ninavyofanya tathmini zangu naona kama kuna anguko zaidi za hizo asilimia mwaka huu wa uchaguzi, huwenda CCM wakapata asilimia 38%. nasema hivi kwani kwa utafiti wangu kwa kila watu 10 ninaokuta wanajadili uchaguzi wa mwaka huu 8 kati ya 10 wanaishutumu au kuikejeli CCM.
 
ccm hawatashiriki uchaguzi mwaka huu mgombea wa ukawa atapita bila kupigwa!!!
 
Sahihisha sentensi, CCM hawakushinda 61% Bali walichakachua matokeo wakajibandika hiyo 61%
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom