UKAWA kutokuhudhuria katika misiba ya viongozi wa siasa

Jamani wananchi wenzangu hebu tuulizane ni kipi kati ya kumsaidia matibabu mgonjwa wakati akiwa kwenye matibabu na kuhudhuria kwenye mazishi ya marehemu kwa mbwembwe nyingi na wapiga picha mkiwa kwenye magari ya kifahari?. Imekuwa ni jambo lilizoweleka kuona baadhi ya watu na viongozi kwenda kwenye misiba kwa ufahari mkubwa kiasi cha kuzuia hata watu wengine wasiende kwenye misiba ili waonekane wao tu kwenye misiba hiyo, sasa naomba tujiulize hivi kuhudhuria sana kwenye misiba kunasaidia kupata kura za wananchi wanaotaka mabadiliko?.
 
mleta uzi umekaa kichama zaidi sio kijamii hivi ni lazima kwenda msibani au ni nafsi ya mtu jins inavo guswa misiba yote tz we unahudhuria mtashindana lakini hamtashinda mabadiliko lazima
Siyo kazi ya Lowassa kuhudhuria misiba, hii ni swala la kijamii siyo la kisiasa.
 
kuna kitu ndani ya huyu mtu anayeitwa lowasa....

na angekuwepo mngesema kaenda kupiga kampeni na kumtafutia polisi wamrudishe ... nchi ya Tanzania watua wa Tanzania tujifunze kutenganisha siasa na mambo mengine,...
 
Mwenzenu kuhudhuria ana maana ya kununua mchele

teh teh teh ! Hata mimi amenisumbua sana mtoa mada hadi msiba wa mzee chisumo lowasa alihudhuria kama vipi apeleke pingamizi tume ya uchaguzi ili wapewe kipao mbele wahudhuria misibani!
 
kuna kitu ndani ya huyu mtu anayeitwa lowasa....

na angekuwepo mngesema kaenda kupiga kampeni na kumtafutia polisi wamrudishe ... nchi ya Tanzania watua wa Tanzania tujifunze kutenganisha siasa na mambo mengine,...

kitu gani mrembo!
 
kWELI WENYE AKILI WANAPOKAA KIMYA WAJINGA WANAONGEZEKA,HIVI KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MISIBA NA SIASA ACHENI HIZO BANA!!!! MIMI NACHOJUA KUHUDHURIA MISIBA NI UBINADAMU,TAMADUNI, NA SEHEMU YA MAISHA KUONYESHA KUGUSWA NA JAMBO LILILOTOKEA KWA KWENDA KUTOA POLE TENA PHYSICALY! KAMPENI MISIBANI NI DHAMBI NA HAIKUBALIKI.
 
CCM mbona mnapoteza kumbukumbu? Kwa kuwa CCM inadhani wapiga kura wako misibani ndio maana Msiba Wa Mzee Kisumo Mlimzuia Mh.Lowassa ushauri Wa Bure kwa CCM Ratibuni watu katika Hospital zote ili mjue nani kafa ili mkaombe kura maana badala ya kuwafariji wafiwa nyie mnageuza SIASA
Maccm ndo yanauwa watu maana yamefisadi nchi hii hadi madawa hakuna hospitali zote za serikali ya ccm. Halafu yana hela za kujenga viwanja vya michezo, hela za kununua madawa hakuna.
 
jamani wananchi wenzangu hebu tuulizane ni kipi kati ya kumsaidia matibabu mgonjwa wakati akiwa kwenye matibabu na kuhudhuria kwenye mazishi ya marehemu kwa mbwembwe nyingi na wapiga picha mkiwa kwenye magari ya kifahari?. Imekuwa ni jambo lilizoweleka kuona baadhi ya watu na viongozi kwenda kwenye misiba kwa ufahari mkubwa kiasi cha kuzuia hata watu wengine wasiende kwenye misiba ili waonekane wao tu kwenye misiba hiyo, sasa naomba tujiulize hivi kuhudhuria sana kwenye misiba kunasaidia kupata kura za wananchi wanaotaka mabadiliko?.

naona unaendelea kupandikiza mbegu ya chuki, aisee watanzania tunapendana sana ndo maana mataifa mengine wanatushangaa tuu, na this oktoba watatushangaa zaidi!!masuala ya kuhudhuria misiba ni jambo jema, masuala ya kuchangia matibabu sio lazima ni mapenzi ya mtu ila ni vyema kumsaidia mtu akiwa hai kuliko akifa.
 
Waliokutuma waambie watu wako makini zaidi ya mjuavyo!

Kwanini chama cha ukawa kimekua kikisusia na kutoshiriki kabisa misiba ya wanasiasa wenzao mfano wa misiba ambayo hawajahudhuria, msiba wa Waziri Selina Combani, mgombea wa CHADEMA jimbo la Lushoto Mohamed Mtoi, na msiba wa Piter Kisumo.

Tukumbuke kwamba kifo sio siasa na mtu anapokufa tofaut zetu lazima ziwekwe pembeni yale ni nimakusudi ya mwenyezi Mungu, sasa kwanini tuhusishe siasa hadi kwenye misiba?

Hiki ni ikipindi kidogo sana na cha mpito tu, wanasiasa mnatakiwa kua na uvumilivu wa kisiasa ata unaposikia amekufa mpinzani wako usifurahi onyesha mapenzi yako kwake maana bila yeye usingeonesha ubora wako.

Kwahio nawaasa wanasiasa hiki kitendo sio kizuri tuhudhurie misiba ya watu wa aina zote tubaguane sehrm zingne lkn sio pale mtu anapo kufa haya nimapenzi ya mwenyezi Mungu.

Napenda kuwatakia kila jema katika uchaguzi huu
 
wewe umehudhuria msiba upi?
 
Hujui hata unachoandika, hakuna chama kinachoitwa UKAWA Tanzania. UKAWA ni umoja wa vyama vinne, CHADEMA, NCCR, CUF na NLD.
 
kWELI WENYE AKILI WANAPOKAA KIMYA WAJINGA WANAONGEZEKA,HIVI KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MISIBA NA SIASA ACHENI HIZO BANA!!!! MIMI NACHOJUA KUHUDHURIA MISIBA NI UBINADAMU,TAMADUNI, NA SEHEMU YA MAISHA KUONYESHA KUGUSWA NA JAMBO LILILOTOKEA KWA KWENDA KUTOA POLE TENA PHYSICALY! KAMPENI MISIBANI NI DHAMBI NA HAIKUBALIKI.

Exactly!
Lakini naona huioni point!
Lowasa alienda Same na magari mengi na bodaboda ati kuhudhuria mazishi ya Mzee Kisumo!

Leo msimamo huo huo unamuumbua.
 
Back
Top Bottom