Ukatili kwa wanyama- Mwanza

Rangi 2

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
336
241
Nimetenmbelea Soko Kuu la jiji la Mwanza leo.
Nimeshuhudia ukatili mkubwa sana dhidi ya kuku wanaochinjwa kwa ajili ya nyama:
1. Wapo waliokatwa vichwa na bado hawajafa- wanaendelea kuteseka
2. Kuna wanao chemshwa ili kutoa manyoya
3. Kuna wanao katwa katwavipande baada ya kuchunwa manyoya kwa ajili ya kuuzwa
Haya yote yanafanyika hapohapo sokoni kwa nje- gate la upande wa mashariki (Jinsi hali ilivyo ya ukatili natamani tu kuwa vegetarian...)
Hali ya usafi si nzuri- inatia kinyaa.
Wahusika chukueni hatua....
 
Yaani lingekuwa jambo la mbolea umefanya kama huu ujumbe ungempelekea Meya wa Jiji la Mwanza/Mbunge na wahusika wengine. Impact ya ujumbe wako ingekuwa kubwa zaidi.
 
Nasikia huzuni sana nisomapo taarifa kama hizi. Binadamu amekuwa kiumbe wa ajabu mno. Ila kwa kweli huwa sielewi kama kuna wahusika na sheria zozote maana mambo hayo hufanyika mchana kweupe na hadhira ya watu wote ikiangalia na kupita hapo hapo lakini wanafanya kuona kama ni sawa tu. Jamani, Mungu hakuwaumba wanyama tuwatese hivyo. Loh! Taarifa mbaya kweli kwangu kwa leo hii.
 
Back
Top Bottom