Ukaguzi wa vyeti sasa watinga TRA. Namba zinazidi kusomeka...

..kwanini wanasema verification itahusisha vyeti vya chuo tu??kwanini wanakwepa elimu ya secondary??...huko ndiko tumeona vyeti feki vingi vinavyowapeleka watu ma vyuoni....kwanini hawa TRA wanakwepa verification kuanzia elimu ya secondary??....mbona kwingine imefanyika kuanzia elimu ya secondary??..kuna shida hapa...
Teh teh teh :confused::confused::confused::confused::confused::confused:
 
Ingekua vizuri waanze na form 4. Watumishi walio wengi wamegushi vyeti vya sekondari. Waache waisome namba wamekula sana rushwa.
 
Ila kusema kweli mie ni mtani wa wachaga ila popote ofisini hawa jamaa wanachapa kazi sana tofauti na makabila wengine hawapendi kujituma. ukweli utabaki kuwa kweli!
Ni pamojana kazi yakukwapua pia. Ni wabaaaaaaayaaaaaa hao jamaa, acha kabisa
 
Kwani academic certificate na professional certificate Kuna tofauti gani...

Nashangaa watu wanaosema vyeti vya secondary wameachwa
Soma barua uielewe, au ki-english haipandi. If yes, omba kutafsiriwa.
 
UKAGUZI GANI HUO UNAFANYWA NA MA HR TENA HAO HAO NDIO WALIONGIZA NDUGU ZAO NA JE KWANINI WAANZE NA DEGREE NA ILIHALI HUKU FORM 4 NA 6 NDIO VYETI VINGI FEKI. MM NAPATA MASHAKA ARE WE REALLY SERIOUS AU BASI MWATAKA KIKI MUONEKANE MNAFANYA HAPA KAZI TU? NAAMINI HYO SIO DHAMIRA YA RAISI KIDATU JIANGALIE MAANA HUELEWEKI MAAMUZI YAKO KAMA UMETIA AIBU KWENYE SUALA DOGO TU LA VAT BASI HILI LA VYETI UWE MAKINI
 
Vinadharirisha, ndio maana havijapewa priority
vya sekondari wengi hawana. na sio kwamba hawakusoma na kuvipata ila wengi wamevipoteza. na kuvipata nadhani wajua mlolongo wake so wengi wakavipotezea. so kama mtu kamaliza degree udsm au chuo kinachotambulika ofcoz alishapitia usahili wote unahousisha hivyo vyeti vya chini na ndio maana wameona havina umuhimu.
 
Ianzishwe kampeni ya One Certificate per Job. Iweje cheti hicho hicho cha kidato cha nne kuna mtu Polisi, Jeshini, Ualimu nk?
 
UKAGUZI GANI HUO UNAFANYWA NA MA HR TENA HAO HAO NDIO WALIONGIZA NDUGU ZAO NA JE KWANINI WAANZE NA DEGREE NA ILIHALI HUKU FORM 4 NA 6 NDIO VYETI VINGI FEKI. MM NAPATA MASHAKA ARE WE REALLY SERIOUS AU BASI MWATAKA KIKI MUONEKANE MNAFANYA HAPA KAZI TU? NAAMINI HYO SIO DHAMIRA YA RAISI KIDATU JIANGALIE MAANA HUELEWEKI MAAMUZI YAKO KAMA UMETIA AIBU KWENYE SUALA DOGO TU LA VAT BASI HILI LA VYETI UWE MAKINI
Prof. Ndalichako: Kiama kinakuja wanaotumia vyeti feki makazini
 
Ikiwezekana waingie katika mtandao wa kazi. Mfano TRA office pale Samora. Waangalie majina yote yanayoendana kama fulani ni Sholwe, wajalibu kutafuta katika mtandao wakina Sholwe wote. Waangalie mahusiano yao. Maana kuna family ya watu 5, wote wapo TRA office
 
Back
Top Bottom