Ujumbe wa wazi kwa 'RAIS JK KIKWETE'

Huu uchafu ndio sipendi kuusikia... Eti 'ana nia nzuri ila watendaji...' Inawezekana vipi mtu uwe na nia na agenda nzuri halafu ushindwe kuzisukuma wakati umepewa mamlaka yote? Utetezi wa kijinga sana!




Ni kweli ukiwa na nia nzuri na agenda nzuri lazima utendaji wako uonekane na hata watendaji wako walio wengi watakutii, sio tu kwakuwa unawapa kula na kushiba bali watakutii katika kuhakikisha wanafanya bidii ili kufikia malengo yaliyopo kwenye agenda zako nzuri yanatimia kwa kuwa wanakupenda na kukuheshimu.
 
Back
Top Bottom