Ujumbe wa Nyumba ndogo watumwa kwa Mama Mkwe- Ungejuwa wewe ungefanyeje?

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Wakuu wanajukwaa,
Natumaini wote mpo fine. Jamaa yangu ambaye tumeoa nyumba moja, (yeye kaoa Mkubwa, mimi mimeoa mdogo mtu) kakosea alitaka kutuma ujumbe kwa nyumba ndogo yake badala yake akatuma kwa Mama Mkwe wetu. Ujumbe wenyewe unataja kiungo cha uzazi cha mwanamke kwa jina lake kabisa. Nanukuu lakini kwa kwa kuwa hili sio jukwaa la wakubwa nitaweka nyota sehemu husika. Ujmbe wenyewe uko hivi;

"K*** acha iitwe K***. K*** inakupa kazi, k*** inagombanisha wanaume, k*** inaliza watu na heshima zao, K*** inajenga nyumba, k*** inatoa watoto."

Jifanye hali hii imekukuta wewe, ungefanyeje?
My take: Ndugu wanajukwaa tuwe makini sana na hizi message tunazotumiana kama mzaha
 
Ningekua mimi nisingekua muhuni na kutembeza mali ya mke nje...pia nisingeandika msg za ajabu ajabu!That is kama ningekua mwanaume!
 
yan hapo mkuu ni sawa na kuangukiwa na jumba bovu ndo tatizo la nyumba ndogo yamemkuta
 
Ningekua mimi nisingekua muhuni na kutembeza mali ya mke nje...pia nisingeandika msg za ajabu ajabu!That is kama ningekua mwanaume!
Si unajua msg za kufowardiana. Kituko zaid ni kuwa jamaa ana umri Mkubwa zaid ya 40
 
Simple:

Amtumie wife wake kwanza. Then amtumie mama apology SMS kuwa alikuwa anamtumia wife bahati mbaya kachanganya namba lakini ameshamtumia wife tayari.
 
Du! kweli hapo aibu,,
tuma msg ya kuomba samahani kwa mama mkwe,na kumjulisha kuwa hakukusudia kumtumia yeye.
ila sijui kama siku utakayoonana naye utakuwa ,
na ujasiri wa kumwangalia usoni.
 
Ila pia inategemea ni mkwe wa aina gani,
Kuna wakwe wengine nahisi hawana hadhi ya ukwe,au hawakuwa tayari kuwa wakwe,
wanakaa baa na waume za watoto mpaka usiku wa manane,akinywa anapepesuka na mume wa mwanae ndiye anakuwa fimbo ya kutembelea,
sasa ukiwa na mkwe wa aina hiyo hata ukikosea kutumua msg wala haina haja hata ya kuomba msamaha, WAnachefua kweli mtaani,ukiwauliza,wanajibu ooh ni kwenda na wakati,eti mkwe alikuwa zamani siku hizi ni mtu wa kawaida kuwa karibu naye ruksa.
ukaribu gani huo wa kunywa na mkwe mpaka unapepesuka???.
 
Du jamani pole yaani sijui atamwagalia tena usoni???? mi natamani awe mkwe aliyemsema nnunu hapo juu yaani wawe wamezoeana na wanakwenda wote baa pamoja vinginevyo....... aibu!! aibu!!! aibu!!!!
 
Tumejizoesha ujinga, cm zimejaa upuuzi mtupu, matusi na lugha za ajabu tunazotumia ndio matokeo yake hayo....siku atakosea atamtumia MUNGU hata sijui ataponea wapi tena...............
 
Si unajua msg za kufowardiana. Kituko zaid ni kuwa jamaa ana umri Mkubwa zaid ya 40
Sasa mtu wa miaka zaidi ya 40 anaforwad na kuforwadiwa text za ajabu ajabu hivyo??Kweli utu uzima dawa..au labda si dawa!
 
Du jamani pole yaani sijui atamwagalia tena usoni???? mi natamani awe mkwe aliyemsema nnunu hapo juu yaani wawe wamezoeana na wanakwenda wote baa pamoja vinginevyo....... aibu!! aibu!!! aibu!!!!

Strategizt , kuna wakwe wengine unaweza hata usiwaelewe kabisa,
Ukimuuliza anasema kwani kipi cha ajabu kukaa na mkwe wangu baa??
Mkwe ni sawa tu na mwanangu, ni lazima niwe naye karibu ili hata akiwa,
na tatizo iwe rahisi kunambia,na ukimhoji sana anakuona kama mshamba
usiyeenda na wakati,alishawahi kunambia sikuhizi ni uzungu kwa
kwenda mbele,,mimi siamini kama ni uzungu,nahisi ni ujinga na kukosa
soni...
mkwe wa aina hii ,hata heshima kwake huwa nashtukia inashuka tu.
 
Simple:

Amtumie wife wake kwanza. Then amtumie mama apology SMS kuwa alikuwa anamtumia wife bahati mbaya kachanganya namba lakini ameshamtumia wife tayari.
Athante kwa ushauri. jamaa alipiga kwa mama Mkwe akamwambia samahani simu ilikuwa na mtu mwingine, but it seems mama hajaelewa
 
Sasa mtu wa miaka zaidi ya 40 anaforwad na kuforwadiwa text za ajabu ajabu hivyo??Kweli utu uzima dawa..au labda si dawa!
Ha ha ha Lizzy si unajua tena wengine waliruka stages fualni katika maisha
 
Du jamani pole yaani sijui atamwagalia tena usoni???? mi natamani awe mkwe aliyemsema nnunu hapo juu yaani wawe wamezoeana na wanakwenda wote baa pamoja vinginevyo....... aibu!! aibu!!! aibu!!!!
Mkuu pamoja na kuzoeana kwa hili ni balaa tupu. Ni Kituko cha mwaka
 
Ila pia inategemea ni mkwe wa aina gani,
Kuna wakwe wengine nahisi hawana hadhi ya ukwe,au hawakuwa tayari kuwa wakwe,
wanakaa baa na waume za watoto mpaka usiku wa manane,akinywa anapepesuka na mume wa mwanae ndiye anakuwa fimbo ya kutembelea,
sasa ukiwa na mkwe wa aina hiyo hata ukikosea kutumua msg wala haina haja hata ya kuomba msamaha, WAnachefua kweli mtaani,ukiwauliza,wanajibu ooh ni kwenda na wakati,eti mkwe alikuwa zamani siku hizi ni mtu wa kawaida kuwa karibu naye ruksa.
ukaribu gani huo wa kunywa na mkwe mpaka unapepesuka???.
Mama Mkwe ni Mlokole tena mwenye heshima zake tu na umri wake ni post sixty, sijui inakuwaje hapa?
 
Du! kweli hapo aibu,,
tuma msg ya kuomba samahani kwa mama mkwe,na kumjulisha kuwa hakukusudia kumtumia yeye.
ila sijui kama siku utakayoonana naye utakuwa ,
na ujasiri wa kumwangalia usoni.
Alimpigia simu akamwambia hakutuma yeye kuna mtu alikuwa anchezea simu yake, ila mama hakumwelewa ndio maana sisi wengine tumejua kupitia mama
 
Mbona haina kitu cha kuonyesha analala nje, si unasema tu kuwa natuma kwa rafiki au mkewe na yeye amepokea toka kwa rafiki

Imetoka hiyoooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom