Ujumbe muhimu toka Vodacom!

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
441
118
Mpendwa mteja, Vodacom haihusiki na ujumbe unaokutaka upige simu upate ujumbe muhimu. Tafadhali usipige simu kama una mashaka na chanzo cha ujumbe.
Wakuu nimepokea sasa huu ujumbe toka Vodacom
 
Mpendwa mteja, Vodacom haihusiki na ujumbe unaokutaka upige simu upate ujumbe muhimu. Tafadhali usipige simu kama una mashaka na chanzo cha ujumbe.
Wakuu nimepokea sasa huu ujumbe toka Vodacom

so kama hawahusiki siwai block hyo # inayo eneza uho ujumbe .shit IT eng wanafanya nini
 
Mi nikipigiwa ntapokea ili nijue kuna nini kinachoendelea.

Sio kuwa unapigiwa, wewe ndio unatakiwa upige simu kulingana na sms hiyo ambayo inasemekana inatoka vodacom. Ndio maana wanatahadharisha kuwa ukipata sms hiyo usipige kwani sio wao!
 
Hata mi nimeipata hiyo sms ikinitaka nipige kushinda zawadi. Namba yenyewe inaanzia na 00232......., nimeipotezea.
 
so kama hawahusiki siwai block hyo # inayo eneza uho ujumbe .shit IT eng wanafanya nini

uwe unafikiria mkubwa.. Namba zinazotumika ni tofauti tofauti sasa watablock namba ngapi? Na ndio mana wamechukua uamuzi wakuwatumia huo ujumbe.
 
Ujumbe unasema hivi: We have an important message for you to know it call this number 004238770736 free. Sender:42387707736
 
Hii ni namba kama naikumbuka hivi!
Si ile iliyokuwa unamchafua mgombea wa U-Rais hii???
 
Mpendwa mteja, Vodacom haihusiki na ujumbe unaokutaka upige simu upate ujumbe muhimu. Tafadhali usipige simu kama una mashaka na chanzo cha ujumbe.
Wakuu nimepokea sasa huu ujumbe toka Vodacom

Vodacom wako sahihi kuku habarisha kwakuwa sasa hivi mascammers wamehamia kwenye simu badala ya internet. Hata mimi nishapokea sms inayo nitaka nipige nipewe habari muhimu na hata sijui ile namba ni ya nchi gani.
Sasa voda wana wapa habari juu ya mascamers na namba zao ni tofauti tofauti kaeni chonjo watu wanaopenda vya bure hawakawii kuliwa unaambiwa umeshinda droo unafurahi hata hujiulizi hiyo droo umeshiriki lini
 
Back
Top Bottom