Elections 2010 Ujumbe kwa Kikwete

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Wapwaz, mabinamuz, mashangazi, mabibi na mabwana. Wakati unajipumzisha nyumbani au mahali pa starehe basi unaweza kujipa muda wa kuusikiliza ujumbe huu wa Mishori kwa Kikwete. Na uchukue muda wako kumshauri Kikwete ili ailinde amani yetu kwa nguvu zake zote. Tumia ujumbe wa wimbo huu kumshauri Kikwete afute kikundi chake cha green guard ili kurejesha amani na upendano katika nchi yetu.
Karibu usikilize:

Last edited by a moderator:
watu wa dini muache kuwa opportunists jamani mnajiaibisha

acha uzushi wewe, kuna udini gani katika ujumbe huo. Message iliyomo humo inalihusu taifa full stop. Huhitaji kuongeza wala kupunguza. Ongelea suala la ujumbe uliomo humo na si suala la nani kasema. Wimbo huo ungeimbwa na Komba wa TOT mngeuweka kwenye kampeni za CCM, akiimba Abiud unasema sisi maopportunisity! what a shame?
 
Ni ujumbe mzuri sana, ila wana CCM siku hizi wakiambiwa ukweli wanakimbilia kwenye udini na uchochezi, wimbo umezungumzia amani kwa vile umeimbwa na kwaya ya dini basi wao (Geza Ulole) na wengie wanaangalia na kujadili aliyeimba na si ujumbe uliomo, ni kuishiwa kwa hoja.
 
Lukolo una nia njema kabisa lakini siyo wote wanapenda mtu azungumzie amani ktk kipindi hiki hasa hao CCM.
Thanx kwa track. ujumbe utafika nampelekea kwenye FB yake
 
Kwa kweli huu wimbo una ujumbe thabiti hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Kama Kikwete akiusikia utamsaidia sana kumkumbusha wajibu wake kwa watanzania. Nimemshangaa sana Geza Ulole kuingiza udini katika ujumbe huu. Nawashukuru sana QUinine na Msanii kwa kuuona ukweli.
 
Back
Top Bottom