Ujue ukweli kuhusu NASA

Wakili

JF-Expert Member
Jun 19, 2017
529
644
Heshima kwenu wote humu ndani.

Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic Missile.

Unavyoona wanarusha rocketi kwenda mwezini jua kabisa sio rocketi bali ni makombora ya masafa marefu.

Hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga mwezini hata siku moja,zile picha na video zinazo onyesha wanasayansi wanaelea angani jua kabisa kua ni CGI, yaani Computer Generated Images.

Kaa ukijua kua NASA ni taasisi ya siri ya jeshi la Marekani na ni sehemu ya ku-testia makombora ya masafa marefu yaani Inter Continental Balistic Missile,ICBM.

Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars.

The Earth is Flat.No one has ever been to the moon.Sayari nyingine zote ni uongo wa NASA, sayari ni moja tu nayo ni dunia na ndani yake vilivyomo ni jua,mwezi na nyota tu, usidanganywe kua kuna sayari nyingine angani.

Nakaribisha maswali

download.jpg
 
View attachment 2601396
๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Chai tea ๐Ÿต bila sugar.
 
In Physics or Geography subjects, i bet, you scored 00% au hujasoma kabisa. Masuala ya Anga za juu, kwako ni zero kabisa..

NASA kutumika na US Military, sio kusema NASA haifanyi utafiti wa Universe.
 
Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars..""
, ----____________________________
Yaan ulipofikia hapa nikashindwa Namna ya ku kupata ili nikusaidie haraka sana kukupeleka milembe, tukikuacha unaweza kuatarsha usalama wa majiran na Familia yako
 
Back
Top Bottom