ujue mwezi wa nane-muhimu

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
najua thread hii sio mahala pake, lakini naomba niwajuze jambo moja juu ya mwezi wa nane, ni mwezi ambao hautaisha bila kusikia watu au mtu kufukuzwa kazi,ni mwezi wa kufukuzwa, kuachishwa, au kusimamishwa kazi.
lamsingi kuwa makini na kazi pamoja na uaminifu
mwenye kuamini aamini
 
Haina mashiko! Au ndo unawapigia ramli walimu?
 
Back
Top Bottom