Ujisikia vipi pale unapofanya hivyo??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Unampenzi wako lakini inatoke hapo alipo mpenzi wako unamwona ndugu yake wa kike lakini kimtazamo unamwona wakuchukulika kirahisi kutokana na vitamaa vya vitu vidogo,mara anakwambia shemu simu yangu inasumbua!!ukitupia nyavu inanasa unakuwa unapiga dada official na mdogo mtu kiwizi je wewe unayefanyiwa unajisikiaje??nawewe unayefanya unaanzaje kumtaka mdogo wa mpenzi wako??Je na wewe ukigundua mdogo wako unakula naye sahani moja utajisikiaje??
 
Duuhh
usema ukweli hakuna anayependa kucheza
Karata tatu na mdogo wake...
Kwa hiyo kama ni mimi nisinge pendezewa kabisa
kusikia mie na mdogo wangu tunachagua mwiko..

Kwa kweli macho hayana pazia yawezekana
Kiwa mdogo wangu ni mzuri kuliko mimi..
lakini ni vema kutunza heshima kati yako na mdogo mtu
huwezi jua siku moja ukamwita shemeji

Ushauri wangu
Fungua macho funga zipu ya suruali
Na kata mitaa..

My dear better be safe than sorry..
 
Hiyo ngumu kumesa aise bwa mkubwa
Ahaaa yataka moyo ila kuna mashemeji ninoma usomkavu anakwambia naomva tutoke outing namkienda manjonjo na hata akikutana nawatu anawowafaha hupenda kuwatambulisha shemejiye kama mshikaji wake nakukumbatia naufanya hivyo kama utani lakini yeye ujua dhamila ya moyo wake!
 
Afrondezi wengi wanafungua macho nakufunbua mkanda nawala siyo zipu!!
 
Jamani hivi vitu vinaumiza sana wana jf ila ndio vinatokea sana majumbani tunamoishi ingawa huwa hatujui. inaumiza sana. Naomba mungu aniepushie kikombe hiki
 
Unampenzi wako lakini inatoke hapo alipo mpenzi wako unamwona ndugu yake wa kike lakini kimtazamo unamwona wakuchukulika kirahisi kutokana na vitamaa vya vitu vidogo,mara anakwambia shemu simu yangu inasumbua!!ukitupia nyavu inanasa unakuwa unapiga dada official na mdogo mtu kiwizi je wewe unayefanyiwa unajisikiaje??nawewe unayefanya unaanzaje kumtaka mdogo wa mpenzi wako??Je na wewe ukigundua mdogo wako unakula naye sahani moja utajisikiaje??

USIMFANYIE MTU USILOPENDA KUFANYIWA. Ngono nje ya ndoa ni dhambi, ngono nje ya mahusiano ni dhambi na laana. Kumbuka ukiwa katika ndoa au mahusiano na ukathubutu kumwendea mwenzako kinyume, Mungu hilo hasamehe wala hasubiri siku ya hesabu, atakulipa hapa hapa kwa wako kuchukuliwa. Ikiwa wewe unafanya siri, yeye atafanya dhahiri, ikiwa wewe ulifanya naye chumbani, yeye atafanya upenuni, ikiwa wewe ulilipa hela, yeye atagawa kama njugu. Je ukigundua utajisikiaje na wewe ulikuwa unafanya kama hivyo? Tumuepuke shetani ili ndoa/mahusiano yetu vidumu kwa heshima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom