mwarabu113
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 121
- 32
Mkuu huo ni uongo uliotukuka,masele alikataliwa na wanashinyanga tangu kampeni za mwaka 2010 chaguo lao lilikua shilembi[rip] na wakampitisha kwa nguvu ndo leo hii wamkubali??kwa lipi hasa alilolifanya?ama kwa kuwahidi vijana kuwatafutia ajira migodini then wakimfata na vyeti vyao toka vyuo vya madini huishia kujibiwa ovyo??sasa kama ulikua hujui ccm hawana chao mji wa shinyanga tena na huyo masele ndo ausahau tena ubunge maana hata hao daladala wa baiskeli mlokua mkiwategemea leo hii wameamka