Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
883
3,066
Wakuu mmebarikiwa,

Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.

Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu.

Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako?

Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.

Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
 
Wakuu mmebarikiwa
Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.
Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu. Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako? Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.

Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.

*Mods rekebisheni kichwa cha habaro iwe IMENIKUMBUSHA
Chai
 
Back
Top Bottom