Ujinga ni........

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
ujinga ni kwenda bank kutoa fedha kwenye ATM lakini unahesabu tena wakati machine imeshahesabu....Hebu na wewe andika Maada inayoanzia na NENO...UJINGA NI.......
 
ujinga ni kumwambia konda shusha kituo flani wakati upo kiti cha mbele karibu na deleva
 
issue si kuyaona Preta issue ni kujisemea "hili kaburi zuri" ilhali ndani yake kuna maiti!
 
Last edited by a moderator:
Ujinga ni kwenda msalani na ukimaliza shughuli ndo unaangalia kama maji/TP yapo/zipo kumbe hakuna...........
Hapo unatoka na lundo la manzi.... yaking'ong'a
 
ujinga ni kwenda church bila kuzima cm, afu unaendelea kubrowse jf while padre/mchungaji anaendesha ibada!
 
Ujinga ni kuazima gari la shemeji yako kisha unaweka kishoka huku ukipigia misele mademu.
 
Back
Top Bottom