Ujenzi wa mtambo wa biogesi

Mr Spider

JF-Expert Member
Feb 28, 2020
1,416
2,542
Habarini wakuu, kwa anayetaka kujengewa mtambo wa biogesi anaweza kuni-pm. Bado jamii kubwa ya watanzania wanaendelea kutumia mkaa na wengine kuni, ingawaje utakuta ni wafugaji ambapo wangeliweza kutumia kinyesi cha ng'ombe au nguruwe kwa ajili ya kuzalishia gesi ya kupikia.

Karibuni sana kwa anayehitaji huduma.
IMG-20200616-WA0001.jpeg
IMG-20200617-WA0004.jpeg
 
Gharama yake ni kiasi gani? inafaa kwa kinyesi cha binadamu pia????

Nasikia kinyesi cha binadamu ni balaa sana,kinatoa gesi kali sana ambayo inaweza kuzalisha hata bomu la nyuklia,haifai kabisa kwa matumizi ya biogas labda sijui waipunguzaje ukali
 
Mkuu mbona maelezo hayajitoshelezi, mf; unapatikana wapi, mawasiliano yako, gharama nk!
Ila Watanzania sijuhi huwa tunakwama wapi?
 
Mkuu mbona maelezo hayajitoshelezi, mf; unapatikana wapi, mawasiliano yako, gharama nk!
Ila Watanzania sijuhi huwa tunakwama wapi?
Napatikana Dodoma mkuu...gharama itategemea na ukubwa wa mtambo pamoja na gharama za materials kwa wakati husika.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Fafanua hata kwa ufupi, haya yafuatayo.

1. Mtambo mdogo kabisa unahudumia/ unaweza kuhudumia watu wangapi?

2 . je utakua na ujazo wa m za ujazo ngapi

3 . Je unapaswa kua na idadi gani ya mifugo (ng'ombe) kuhudumia?
4. Je unaweza kuishi kwa miaka mingapi kama utatunzwa kwa usahihi?

Mwisho weka mchanganuo wa vifaa , Kila mmoja atajua Bei kulingana na mahala alipo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom