Ujambazi live

MEDDY UNIQUE

New Member
May 25, 2011
2
0
Nimeshuhudia juzi usiku maeneo ya kigogo luhanga Dar es salaam nje ya hostel ya wasichana wa shule ya Loyola High majambazi wakiwaibia pesa watu amabao inaaminika walikuwa wakiwafuatilia muda mrefu yaani ni kimya kimya wakasimamisha gari na kumuonyeshea bunduki dereva then wakawapulizia dawa ambayo sikuitambua ila iko ndani ya kopo la spray na kuchukua begi dogo amabalo lilikuwa na pesa nilizo amini ni nyingi huku jambazi mmoja ameishika bunduki wazi bila wasiwasi kabisa na kisha kupanda gari na kutokomea mbali .Jamani tuache bihashara za kiswahili na kutembea na mapesa mengi huko ni kuuza roho !!!!!!!!
 
Duh! Pole zao... Na we una haraka ya wapi? (RED)
 
Polisi na jeshi sasa hivi macho na akili zipo mara huko wanasambaza maiti za wakrristo barabarani
 
hii ni hatari sana,polisi wa dolia walikuwa wapi? hakuna ulinzi wa watu na mali zao bali nao hucheza dili,

kweli sasa bongo kila mtu na mzigo wake yaani hata wapita njia hawakuliona hilo? nguvu nya umma ipo wapi wakati huo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom