Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

Russia, China, Iran, Venezuela To Hold Military Games (Video)

Nchi za KIJAMAA na UJAMAA kamwe huwa haziachani...... mwaweza kuona zimesinzia.... lakini wapo zaidi ya macho!
 
Nyerere sie alieleta harakati za kudai uhuru acha kupotosha, ALizikuta harakati zipo tayari mjini kitambo akadandia Basi
Loool! yale yalikuwa majoga km nini!! ma Pimbi tu yale!! yanatafuta kick kwa Mzanaki, baada ya kuona Uhuru Mezani bwana!! mzanaki alikomaaa kivingine kabisa kwa mbinu matata saaana hata mfanyeje imetoka hiyo Historia itaandikwa kiivo tu!! tena alikuwa na ajira full Mziki lkn aliitema!

sasa weye unatwambia wavaa vilemba na wanywa kahawa walee wa kariakoo wale?? wanapenda sana kudandia dandia pwiii!! ....eti wakajifanya!! jifanya eti sijui kumpindua weee!!...... mbona walichakaa mpaka ugoko!...

km mie muongo muulize Flora kambona!!....Yaani yule alimpiga jicho akachakaa mazima!! Tamim na wenzake waalijifanya wajanjaaaa!! waulize kilicho wakuta yaani aliiijua nchi na nchi ikamkamata barabara!

tena ikampenda mkamtukuza eti Mtukufu Rais!! akawakataza!! lkn mpaka leo mnamuita ''Mtakatifu Nyerere'' Uongo??.... kwanza angekuwepo usinge sema hivi,

Nyie ndo mlikuwa mnampigia mapambio kila akipita wanafiki wakubwa nyie!!...leo mnasema haya??? mlistahili kufinywa nakufunga mikanda!! bado na mie nakuja nitawafinya mpaka myambe kifukuto!

ntaanza na wewe!! unadhani haujulikani?? tunakujua sana!
 
NI kama uliechanganyikiwa
 
Sijasema ujamaa nu mbaya, nasema ni mfumo wa uchumi ambao hakuendana na historia ndefu ya bara hili la Africa kabla na hata wakati wa ukoloni.

Dola kubwa za Songhai, Mali, Zulu, Mwene Mutapa, Sofala n.k katika bara hili zilijengwa kwa biashara ya mfumo wa soko huria.
Ujamaa cyo mbaya
 
Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi.

Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya 1960 zilipata uhuru na zikarithi uchumi wa wakoloni uliokuwa ukikua.Viwanda vilivyokuwepo vilikuwa vikifanya kazi kwa ufanisi, hali ya biashara ilikuwa nzuri, sekta ya kilimo ilikuwa nzuri inayokua huku ikiweza kulisha raia wote bila kuagiza chakula nje, hifadhi ya fedha za kigeni ilikuwepo, huduma za kijamii nazo zilikuwa zikisonga mbele n.k

Punde tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 60 baadhi ya viongozi kama Nkuramah, Leopold Senghor, Sekou Toure, Julius Nyerere, Kaunda, Milton Obote, Mengistu Haile Mariam(Ethiopia haikuwahi kuwa koloni)na wengine wakaja na sera zao za ujamaa. Japo zilitofautiana lakini zilifanana katika mambo muhimu kama "nationalization", vijiji vya ujamaa, chama kimoja, na kutoruhusu uwekezaji kutoka nje.

Kitu walichosahau au ambacho hawakuzingatia viongozi hawa ni kwamba Africa kwa asili yake ilikuwa ni bara la soko huria au la kibepari tangu karne na karne. Kabla ya ukoloni na hata baada ya wakoloni kuja. Ujamaa ulioletwa miaka ya 1960 hadi 70 ulikuwa kitu kigeni sana kwa raia wa bara hili. Uliharibu na kuvuruga mfumo mzima wa soko huria uliojengeka kwa karne nyingi.

Ujamaa ulileta rushwa, uzembe, matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi. Uliondoa hata uhuru wa ukosoaji ambao ulikuwepo wakati wa ukoloni! Matokeo yake kadri miaka ilivyosonga mbele uchumi wa hizi nchi na nyingine nyingi za Africa ukadorora sana, ukawa mbovu, viwanda vikafa na vingine vikawa havianzishwi, biashara ikasinyaa, uhuru wa raia ukaminywa, migogoro ikachachamaa, umaskini ukazidi kutapakaa.

Ujamaa ni mfumo ovu sana uliochangia pa kubwa kuliharibu bara hili zuri. Unapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anayetazamia siku nzuri za usoni katika bara hili.

Hii ni kwa ufupi sana.
Kwa hiyo ujamaa ndio uneifanya Afrika kuwa maskini si ndivyo unavyo maanisha ?
 
Unachoongea hakieleweki, na inawezekana huenda ukawa hujui ujamaa uliokuwapo Tanzania bali unajua kuukosa tu! Uandishi yako wenye kutumia generalization kama vile "ndipo mliposhindwa" ni wa low level sana kwani haujadili dhana bali unajadili watu.

Ujamaa wa Tanzania haukutaka kila mtu awe maskini, lakini ulidhibiti upatikanaji wa mali kwa njia haramu kama vile rushwa, magendo na wizi. Akina Manko, Gachuma, Dr Winani, Chambiri Musoma Bus, Tanganyika, United Bus na makampuni mengine mengi yalikuwa yanamilikiwa na watu wasiokuwa maskini, ila upatikanji wa mali zile ulikuwa na trace record inoyojulikana. Hata marekani ukikurupuka kuwa na mali nyingie bila kuelewa watakudhibiti kukutaka ueleze umezitoa wapi. Wakati tunapata uhuru zaidi ya asilimia 90 ya wanachi walikuwa ni maskini sana wakiwa wanaishi huko maporini ambako hata walikuwa hawapeleki watoto watoto shule. Kwa hiyo unapoongelea kuwa serikali ilitaka watu wote wawe masikini sijui ulitegemea matajiri gani. Sasa hivi kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake lakini bado watu wanalalamika je kweli iwapo miaka hiyo kila mbuzi angekulwa kwa urefu wa kamba yake kweli nchi ingefika popote?
Uko sahihi ningeshangaa! km ungenielewa!! ni kawaida akili ndogo kutozielewa akili kubwa! huwezi tenganisha ''Dhana -dhanifu' na Watu? ni uongo! walikudanganya kawadai Karo yako?...

siasa za ku-twist ni za kizamani Mkuu!!... Rushwa , Magendo, na tafsiri ya wizi wa Bakshish havijawahi kwisha Duniani , Tangu zama ! tulicho fanya ni kuudhiti/kuutungia sheria kalit!

Hatukuwa na mchezo ''kwamba mla rushwa na Mtoa Rushwa woote Manzi ga nyanza!'' ataingia ndani kwa kumchapa viboko hamsini! na akitoka hamsini akamuonyeshe Mke wake vizuri!

Hakuna sehemu niliyo sema eti ujamaa ulitaka kila mtu awe maskini hayo ni yako, usinilishe maneno km vepi rudia kusoma tena! uelewe halafu uje!

Siasa ya Ujamaa tulio utaka ni ''kuweka Njia kuu za Uzalishaji Mali ziwe Mikononi mwa Umma wa Watanzania walio wengi'! Km NMC, RTC, USAFIRSHAJI nk! na tulifanya ivo!

Dr Winani, Dr Manyonyi, Mtango nk, na vile Vi- Hospitali walikuwa watoa huduma kwa UMMA, na si Ubepari ule, acha uchuro?..hawakuwa Mabwanyenye tunao sema umekosea!

Tuombe radhi watanzania hatukuishi maporini!! yepi??... ....bali shule/Huduma za afya/usafirishaji/miundo mbinu nk havikuwepo vya kutosheleza mahitaji yao muhimu, ....

hata ivo watanzania wengi hawakujua umuhimu wa Elimu!...ivo tukaanzisha UPE, ELIMU YA WATU WAZIMA nchini KUHUSU KILIMO BORA CHA MAZAO, KUPITIA GAPEX NA UFUGAJI BORA WA MIFUGO!

km nguzo kuu ya kuinua uchumi wetu! KTK vijiji vyetu vya Maduka ya ujamaa na Ushirika! na kweli hili tulifanikiwa kwa asilimia 89.

Ivo kutokana na kipindi cha mpito kuelekea ujamaa kamili, walewale walio achiwa kijiti Wakashindwa ku-implement siasa ya ujamaa na kujitegemea nchini TZ na hii ilikuwa ni kwa

sababu mbalimbali ambazo sitazitaja hapa leo make siyo lengo la uzi huu .... ...henceforth! kupitia Azimio la Zanzibar Ujamaa ukazikwa rasmi na wale wale! waanzilishi wayo.

na ndo walewale walioushadadia kuanzishwa kwayo mpaka leo! imebaki Historia
 
Unashindwa kujenga hoja ila unalazimisha kutambuliwa kuwa una akili kubwa kumbe ni gram tano tu.
 
Aksanteee! nkuu!!.....Kwa kuchema hifiii!!! .... basi jua kabisaaa!! kuwa umenikubali! haswaa!....wajua miye Mura niko ri-revel nyangine Kabhisaa! tata nyamutbhitwa!!...

kwa sabhabhu Chaikorojia rangu riko chuu!! ata chiwe ariongopaga! sana!...umechindwa kuni piti kwa hocha mpaka ukabhitia Tiricha-- ukaingia taracha!
 
Kutokana na rasilimali nyingi bara la Africa lingeweza kuwa mbele sana kwenye maendeleo na hivyo kuwafanya wananchi wao kuishi maisha mazuri. Tatizo lipo kwenye wizi. Mtu mweusi atakuwa na chembe ya wizi kwenye damu. Chembe inatuaribu sana ndiyo maana hakuna hata mmoja anayeonekana anaweza kubadirisha hali hii.
Wanaodai katiba, ukiangalia upande wao matumizi na mapato ripoti hazisomani.

Chembe hiyo ni chembe gani? Tafiti zinahitajika.
 
Huu ndio kweli ambao wengi wetu hatupendi kuuskia. Mabadiliko huanza na mimi na wewe. Badili Tabia
 
Kutokana na rasilimali nyingi bara la Africa lingeweza kuwa mbele sana kwenye maendeleo na hivyo kuwafanya wananchi wao kuishi maisha mazuri. Tatizo lipo kwenye wizi. Mtu mweusi atakuwa na chembe ya wizi kwenye damu. Chembe inatuaribu sana ndiyo maana hakuna hata mmoja anayeonekana anaweza kubadirisha hali hii.
Wanaodai katiba, ukiangalia upande wao matumizi na mapato ripoti hazisomani.

Chembe hiyo ni chembe gani? Tafiti zinahitajika.
Wizi ni tabia mbaya na haikubaliki popote.
Hata hivyo, nafikiri maendeleo yanakosekana kwa sababu ya ujnga zaidi. Mwizi hujimilikisha visivyo vyake na kuwa tajiri, kwa hiyo waafrika ni wajinga wanaoruhusu wageni (wezi) kuiba raslimali zao.
 
Wafrika wanaibiwa na wafrika wenzao ndugu. Wengi tunajua kuwa hapa tunaibiwa ila tunashirikiana na wezi wengine kutoka nje ya nchi kuiba.
 
Wizi ni tabia mbaya na haikubaliki popote.
Hata hivyo, nafikiri maendeleo yanakosekana kwa sababu ya ujnga zaidi. Mwizi hujimilikisha visivyo vyake na kuwa tajiri, kwa hiyo waafrika ni wajinga wanaoruhusu wageni (wezi) kuiba raslimali zao.

aliekwambia wageni wanaiba rasilimali za africa ni nani? rasilimali za africa zinaibiwa na waafrica wenyewe
 
Back
Top Bottom