Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Status
Not open for further replies.
Kwani malkia au PM ndio walimuita!! ni kiherehere chake kilichompeleka huko wacha wampokee watakavyo!
wenzetu wako busy na kazi nyie na viherehere vyenu mnakwenda kusumbua watu.... safi sana siku nyingine tulia kwako uheshimike sio kila siku kiguu na njia

Ni kama baba ambaye kwa kuwa nyumbani kwake hakuacha hela ya mboga, basi kuliko kusikia malalamiko ya watoto na mkewe, yeye anakimbilia bar kukaa na kupiga story, mwisho wa siku hata ma bar maid wanaanza kumchoka ,a mwisho watamtukana tu.
 
Sasa kama ishu yeyenyewe ilitakiwa aende uingereza mtu wa level ya unaibu waziri lakini Jk akalazimisha kwenda yeye lazima mtu aliyeendaliwa kupokea ugeni wa level hiyo aende mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: KUN
Mkuu,

JK hathaminiwi tena na ninashaka na uwezo wake wa kufikiri kwanini anashindwa kutambua Dharau afanyiwazo?
Hebu angalia jinsi alivyolimwa barua kali na Mbunge toka USA, hivi hii inaingia akilini kweli kwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa JMT kuandikiwa barua kali ya Karipio na Mbunge?

Ama kweli ukistaajabu ya Liwalo na Liwe utayaona ya Dhaifu. Hadhi ya Tanzania na hasa Ikulu imeshushwa na Awamu hii ya 4.

mkuu hiyo barua iko wapi? na ilikuwa inasemaje?
 
Kuna marais watatu wamealikwa kutoka Africa. Paul kagame, Yoweri Mseveni na JK. Naona kama tuna msakama zaidi JK, je wale wengine walipata mapokezi tofauti na aliyopata JK? Kama wote walipata mapokezi kama ya JK, basi isiwe kebehi kwa JK tu
 
Hii sio ziara rasmi kwa mwaliko wa serikali ya Uingereza bali ni wageni wa taasisi anayoandaa mkutano aliokwenda kuhudhuria.
Na hiyo picha uliyotuwekea ni mkutano wake na huyo waziri na sio kwamba wako airport wakati JK anafika.

Hivi jamani , ni kweli kulikuwa na umuhimu wa huyu mheshimiwa kwenda kwenye hiyo sherehe kwa kuzingatia yaliyopo hapa sebuleni kwake? kwanini asingetuma waziri au mwakilishi mwingine?
 
Mkuu, hatujavuka bahari bado; mazungumzo ni kuhusu Kagame kupokelewa na Waziri Mkuu wa Uingereza huku Mkuu wetu wa Kaya akilakiwa na 'Kijana wa Mtaani tena Uchochoroni'. Hebu fanya hima urudi kwenye mada tajwa hapo juu.

Kwani rais wa nchi yeyote akienda USA anapokelewa na Obama au HIllary Clinton?
 
Kwani mtu mzururaji hamumjui ni kama baba aliyeshindwa kuhudumia nyumba yake yeye kila siku anakaa baa mpaka saa 7 usiku hili akute wanae wamelala. Bwana huyu hana jibu mambo kibao yamemlemea , Katiba , Muungano, CCM , Mwabepande , Uchumi, Afya , kila kitu kwishney mwache azurure hili mpate akili ya kutochagua vilaza 2015
 
Kuna marais watatu wamealikwa kutoka Africa. Paul kagame, Yoweri Mseveni na JK. Naona kama tuna msakama zaidi JK, je wale wengine walipata mapokezi tofauti na aliyopata JK? Kama wote walipata mapokezi kama ya JK, basi isiwe kebehi kwa JK tu
 
Sijui alienda kufanya nini ila,hawa wenzetu wanashughuli zao za muhimu,haiwezekani kukutana nao kila mara,labda uwe na dili kubwa lakini kama ni kuombaomba au kuleta report au majibu,wanakutumia wawakilishi
 
Kuna marais watatu wamealikwa kutoka Africa. Paul kagame, Yoweri Mseveni na JK. Naona kama tuna msakama zaidi JK, je wale wengine walipata mapokezi tofauti na aliyopata JK? Kama wote walipata mapokezi kama ya JK, basi isiwe kebehi kwa JK tu

Kagame na Museveni walipokelewa na Cameron
 
True true, wanamjua ni dhaifu !!

Waingereza wengi wanamsema hivi
"Tanzania’s Jakaya Kikwete, re-elected to a second term last year, will step down in four years. Hobbled with the reputation of a lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption, Kikwete seems to be busy sprucing his image.

Amidst signs that the long-ruling Chama Cha Mapunduzi is in the midst of a shake-up, Kikwete has been pushing some of the more controversial and scandal-tainted politicians off the cliff, or a few of them have saved themselves the humiliation and jumped


Na wengine wanamsema hivi


Tanzanians are tired of their president. A retarded womanizer, brain dead idiot constantly trotting the world leaving his country in the darkness. His people pray for an African version of Arab spring to topple jokers like him.

Wikileaks revealed how cheap Kikwete is; a whole head of state being bribed 5 suits and $1million.

How low? He is accused of being the master of all corruption. Never home attending even the most mediocre meetings his assistants could attend. They have even named him after the explorer "Vasco Dagama".

Africans will never progress as long as the likes of Kikwete keep on leading Africa''.
 
Kweli hata mie imenisikitisha...mbaya zaidi kilichonitisha mie ni kama wamemuwekea karanga mezani au macho yanguuuu???
 
Jamani JF mna vimambo yaani Malkia akampokee JK aache kumpokea King Mswati kwani JK kaenda kwenye Uzazi wa mpango. Hii issue inahusu mataifa mengi na si kila jambo Malkia anatokeza
Tijiulize kenda fanya nini, yaani hata kuangalia mpira wa Arsenal apokewe na Cameron?
JK ana marafiki wengi watanzania ambao watampokea bila was
 
Hii sio ziara rasmi kwa mwaliko wa serikali ya Uingereza bali ni wageni wa taasisi anayoandaa mkutano aliokwenda kuhudhuria.
Na hiyo picha uliyotuwekea ni mkutano wake na huyo waziri na sio kwamba wako airport wakati JK anafika.

Ameenda kukutana na naibu waziri?
 
Mkuu Mungi, hivi ulitegemea Said Salim Bakhresa aache shughuli zake kwa kuwa kuna omba omba kaja kueleza shida za vyandarua inayowakabili watoto wake? Sidhani, lazima atamtuma mmoja kati ya wasidiza wake wakamsikilize huyo omba omba.

Incase omba omba anataka kuuza ardhi yake, then Bakhresa ataenda kumsikiliza pasonale
 
Last edited by a moderator:
Kagame na Museveni walipokelewa na Cameron

Sidhani. Jamani tuwe wakweli kwenye mambo ya ukweli. Hapo pichani anaongea na huyo naibu waziri, ingawa asubuhi nilisikia kweli toka tbc JK alilaliwa na kitu kama na waziri. Tupia picha ya kagame na m7
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom