Uimara wa Hamas unatokana na Ubora wa Silaha walizonazo au Ujasiri wa askari wake? Au wanasaidiwa na mamluki?

Ni hilo tu ndugu Zangu maana nahisi Dunia si salama tena

Hivi punde Israel kapata Kipigo kibaya zaidi tangu Vita ianze na kupoteza askari wake 24 kwa mpigo

Kwako Ustaadh FaizaFoxy 😂
FaizaFoxy ni Ustadhat banah.

Hamas kuimara wao unatoka na ujasiri wao wa kupigania ardhi yao! Just imagine wanajiuliza ni nini hatimayao wakisarenda? Wataenda kuishi wapi na ndugu zao wakiachia ardhi yao? Kumbuka Gaza ina KM² 365 tu sawa kabisa na Wilaya ya Ilala yenye Km² 364.9.
 
This is normal when it comes to guerilla Warfare. Vita inayopiganiwa kitaani huwa ni tafu sana walichoongeza Hamas ni mashimo ya panya.. so wamekuwa kama nyoka.. ushindi wake unapatikana kwa wingi wa jeshi.. ili kushinda vita hii mapema lazima usafishe uwanja kwanza ndipo mbabe atoe kichapo.. Kwa upenda wa Gaza Israel angeshashinda sema Waislam wana Umoja hata kama mwenzao hafai kuishi katika jamii.. Ile kuzuia Maji,Umeme na Misaada mingine ilikuwa vita iishe asubuhi tu.. so kele za waislam kulalama misaada ndio afueni ya Hamas. na pia Kuna uwezekano mkubwa Hamas anapata silaha mpya kila siku kwenye mahandaki ya upande wa Mpaka wa Misri.. Israel kagusia Misri wamekuja juu haswa maana kachezo wanakocheza ni kakubwa.. ila Hamas wengi sana wamededishwa na waliobaki ni wengi mno karibu asilimia 80 ya watu wa gaza wanaunga mkono Hamas na asilimia kama 5o washawachoka Hamas issue ipo hivi ukijulikana huwataki Hamas habari wakiipata unachinjwa hadharani au unaburuzwa na gari hadi kifo...

But hii Vita Israel anataka kuwadhoofisha tu Hamas ili next time wasifikirie kabisa October 7
 
Ni hilo tu ndugu Zangu maana nahisi Dunia si salama tena

Hivi punde Israel kapata Kipigo kibaya zaidi tangu Vita ianze na kupoteza askari wake 24 kwa mpigo

Kwako Ustaadh FaizaFoxy 😂
Watakuwa majasiri kupitiliza unawezaje kuiface idf iliyochapa all arabs arms in 6days na pia ni funzo kuwa sio lazjma mavifaaa mengi uzalendo ,mapenzi kwa nchi na taifa hayawezi kushindwa mbele ya mabeberu hata waje na nini.
 
madhani ni akili tu

Idf improove mbele ya ulimwengu kuwa vita sio vifaa tu. Idf wanakamatika sana kwnye mitego ya Hamas

Kama huna akili huwezi kutega mtego ama kutegua mtego wa adui
 
Ni hilo tu ndugu Zangu maana nahisi Dunia si salama tena

Hivi punde Israel kapata Kipigo kibaya zaidi tangu Vita ianze na kupoteza askari wake 24 kwa mpigo

Kwako Ustaadh FaizaFoxy 😂
Mine si walizitega wenyewe? halafu wanao coordinate wakawa mislead...
 
This is normal when it comes to guerilla Warfare. Vita inayopiganiwa kitaani huwa ni tafu sana walichoongeza Hamas ni mashimo ya panya.. so wamekuwa kama nyoka.. ushindi wake unapatikana kwa wingi wa jeshi.. ili kushinda vita hii mapema lazima usafishe uwanja kwanza ndipo mbabe atoe kichapo.. Kwa upenda wa Gaza Israel angeshashinda sema Waislam wana Umoja hata kama mwenzao hafai kuishi katika jamii.. Ile kuzuia Maji,Umeme na Misaada mingine ilikuwa vita iishe asubuhi tu.. so kele za waislam kulalama misaada ndio afueni ya Hamas. na pia Kuna uwezekano mkubwa Hamas anapata silaha mpya kila siku kwenye mahandaki ya upande wa Mpaka wa Misri.. Israel kagusia Misri wamekuja juu haswa maana kachezo wanakocheza ni kakubwa.. ila Hamas wengi sana wamededishwa na waliobaki ni wengi mno karibu asilimia 80 ya watu wa gaza wanaunga mkono Hamas na asilimia kama 5o washawachoka Hamas issue ipo hivi ukijulikana huwataki Hamas habari wakiipata unachinjwa hadharani au unaburuzwa na gari hadi kifo...

But hii Vita Israel anataka kuwadhoofisha tu Hamas ili next time wasifikirie kabisa October 7
Mchambuzi wa mchongo. Unachagua vita ipiganwe wapi na vipi na wewe unajiita mchambuzi.?
 
Asilimia 80 wanaunga mkono Hamas,50 wamewachoka,hebu nielezee hizi hesabu,maana mie ilipofika kwenye kks na kds nikaachana na hesabu
 
Back
Top Bottom