JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,519
- 7,556
nafahamu uhusiano wa vipimo tofauti mfano uzito(kg,g etc), urefu(km, m,sm etc) lakini naomba kufahamu uhusiano wa vipimo vya memory.
gigabyte moja ni sawa na bytes ngapi? vilevile kwa megabyte na kilobyte uhusiano wao kwa bytes.
pia naomba nijue internet speed, mara nyingi nasikia watoa huduma wakijigamba kuhusu speed, je hii kb/s ni kipimo gani hasa na uhusiano wake kwa byte.
naomba msaada hapo tafadhali!