Nakuelewa ndg yangu uwingi wa wawalaji wa bidhaa nikitu muhimu Sana, nimejaribu kutoa maoni kutokana naliyoyapata kwenye soko, Wakenya wanasifa yakufanyia kazi udhaifu wa sisi Watanzania, miaka mitano iliyopita Tanzania husasani dar Es salaam lilikuwa ni soko la nchi zote zakusini la bidhaa za simu, Kenya wakaondoa kwenye bidhaa hizo ushauri Leo fanyia kazi mapato ya ndani ya wageni wanakwenda kununua bidhaa hata wa Zambia, Wamalawi, Wakongo Na Wanyarwanda wa nananua bidhaa hizo Nairobia si tu kununua bidhaa kulala tu kwa mtu Moja ni pesa, kwahiyo wao kama wakenya wanajua kuweka uhuru wa watu wa east Africa kuishi Kwao ni soko pana Sana machoni pa wawekezaji Ndugu yangu, hayo ndiyo maoni yangu,na ndiyo ukweli,Watanzania tunaumimi sana naniwagumu kufanya maamuzi kwenye kila sekta tunafanya kwa kutojiamini sijui kwanini?ebu chunguza kila sekta kwenye kilimo shida kwenye maamuzi shida,tukijichanganya kunamanufaa makubwa Sana