Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1702388882382.png

Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani.

Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais wa nchi kutoa tangazo la kihistoria la uamuzi wa Serikali ya Kenya. Kuanzia Januari 2024, Kenya itakuwa nchi isiyohitaji kuingia kwa visa. Haitahitajika tena kwa mtu yeyote kutoka pembe yoyote ya dunia kubeba mzigo wa kuomba visa kuja Kenya. Serikali imefuta sharti la Viza kwa wageni wetu wote”.

Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika, kikwazo cha ulazima wa Visa hasa kwa wasafiri wa ndani ya Bara la Afrika kilitajwa kuchelewesha maendeleo kati ya nchi na nchi. Ikumbukwe kwa Afrika Mashariki tayari Rwanda imefuta ulazima wa Raia wa nchi za Afrika kuingia nchini humo kwa Visa.

============

Kenya has opened its borders by abolishing visa requirements for all foreign nationals.

President William Ruto made the announcement Tuesday when he delivered his national address at this year’s 60th Jamhuri Day national celebrations at Uhuru Gardens in Nairobi.

Channel 1
The declaration did not come as a surprise as the President had hinted at the move but to African only, during the Africa Climate Summit held in Nairobi on September 4, 2023.

The new policy however takes effect beginning January 2024 but travelers will be vetted in advance online since it will be mandatory to obtain electronic travel authorisation.

While describing Kenya as the home of humanity, Ruto said “Kenya is the home of humanity, a scientific fact that fills us with pride and underscores our rich heritage”.

“ It is with great pleasure, as President of this extraordinary country, to make a historic announcement of the decision of the Government of Kenya. Beginning January 2024, Kenya will be a visa-free country” he announced.

He reiterated that it is unfair to ask anybody coming home for a visa.

“It shall no longer be necessary for any person from any corner of the globe to carry the burden of applying for a visa to come to Kenya. To echo the call of the Turkana people to the world: “Tobong’u Lorre!” Kenya has a simple message to humanity: Welcome Home! This is why, the Government has abolished the requirement of visas for all our visitors”.

The Kenya Kwanza administration has in recent months entered into visa-free agreements with various African countries and Indonesia.

Ruto maintains that lifting visas was necessary to facilitate free movement and trade.

“Kenyans have shown, time and again, that we are not afraid of the world beyond our borders. We venture abroad fearlessly and warmly welcome our visitors from near and far. This is not by accident” he noted.

“This is not by accident. The scientific historic account of early humanity is told by various archaeological sites in our country. In short, we are the first home of all humanity, and we joyfully embrace our ancestral task of welcoming humanity home” he said in conclusion.
 
Hawa ndo aina ya viongozi wanahitajika Afrika na duniani kwa ujumla. Hongera sana H.E Paul Kagame na H.E William S. Ruto. Kwa hakika mnatuwakilisha vizuri sana wana Afrika Mashariki.
 
View attachment 2840661

Ni uamuzi mzuri, isipokuwa wawe makini sana na watu wabaya, waovu au wahalifu. Watu kama vile Wanaijeria, Wasomali, Wapakistani au Warusi-Mamluki wanaweza wakaitumia nafasi hiyo vibaya.
 
Sana sana wanigeria na south Africa maana wasomali wapo kenya siku zote na ni Raia wa kenya
 
Faida zinaweza kuwa zipi mkuu?

Unaona Tanzania tukifuata hii njia?
Tanzania kufuata nyayo hizi kwa sasa hapana, bado sana ili tuweze kufika huko.
1.Kuna mfumo wa Utawala wa nchi ambao bado upo weak sana. It will take a time!
2.Wananchi wengi zaiidi wa Tz Wana "elimu ya wasiwasi." Hawajajiandaa kabisa kuishi maisha ya "raia wa kimataifa."
3. Watanzania wengi zaidi hawana elimu ya kutosha kuhusiana na Masuala ya DIASPORA AND INTERNATIONAL MIGRATION.
Hivyo, tukiwaiga Wakenya ktk hili tutarajie kupata hasara kubwa na nchi kukumbwa na misukosuko siku za usoni.
 
Sana sana wanigeria na south Africa maana wasomali wapo kenya siku zote na ni Raia wa kenya
1. Wananchi wengi wazawa wa Afrika ya Kusini (Blacks) hawana sana utamaduni wa kusafiri nje ya nchi yao, hawana kabisa hulka ya namna hiyo.
2. Wasomali wengi waliopo Kenya leo hii ni wale walioingia nchini Kenya kutoka Somalia baada ya kupinduliwa kwa Utawala wa Dikteta Siad Barre wa Somalia mwanzoni mwa miaka ya 1990s.
 
Yeah uko sawa kabisa
 
Ndugu zangu wakenya chakula mnacho hata mnafanya ivo?

Anyway hii ni fursa kwa watz walime kwa wingi ili tuwauzie vyakula majirani zetu

Nawapenda sana wakenya
 
For a third world African countries, Visa or no Visa, there's no difference. Nobody gets denied a Visa to an African country anyway. The Visa is the smallest component of travel to most African countries.
 
ngoja tuone matokeo maana kila kitu kina faida na hasara …
Kuna Wa Afghanistan wamefurushwa Pakistan na wanaogopa kurudi kwao kukutana na Taliban huko.

Watachangamkia tenda sasa hivi.

Halafu wakipenya Kenya tu utawaona wanaingia Bongo sasa hivi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom