I hope uhamiaji wanasoma hii thread, and this is realy JF, sio mambo ya udaku na chuki za kijinga, sio mambo ya kuwasafisha watu ambao tayari wananuka katika jamii lakini hawataki kukubali matokeo. Hongera Mzee Mwanakijiji kwa juhudi zako za kuimarisha JF yetu. Na utashangaa kesho ni vyombo vichache vitakua na hii taarifa.