Uhamiaji yahusishwa na biashara haramu ya kuuza watu

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Katika hali isiyotarajiwa idara ya uhamiaji inahusika na biashara ya kuuza binadamu,,,,taarifa ambazo leo zimeripotiwa na gazeti la nipashe zinasema kuwa baadhi ya maofisa wa uhamiaji wanajihusisha na uingizaji wa raia wa kigen kutoka Pakistan,inasemekana kuwa maafisa hao huwapa vibali fake na baadae wapakstan hao huenda kufanya kaz kwenye viwanda mbalimbali hapa jijin na jijini mwanza,kampun ambayo hushirikiana na maafisa wa uhamiaji inaitwa Altaf & CO.PK ambayo mmiliki wake anaitwa HUSSEIN ALTAF,duru zinasema kuwa kampuni hiyo imeweza kuingiza jumla ya sh 430 mil kwa kuingiza wapakistan 43;ambapo kila mmoja hutakiwa kulipa shilingi milioni 10,habari zinasema kuwa wapakistan hao wanafanya kazi kwenye viwanda vya ndondo,miongoni mwa viwanda hivyo ni IRON STEEL,SIMBA STEEL vyote vya dar es salaam,na pia NYAKATO STEEL cha JIJIN MWANZA,Ingawa idara hiyo imeulizwa imekana na sasa inamsaka aliyetoa siri hiyo ni nani.
Akhsanteni
Sosi:NIPASHE JUMAPILI
 
Tunashukuru kwa taarifa, kama hawahusiki wanatafuta aliyevujisha siri wa nini, hii inaonyesha moj kwa moja wanahusika. Bado kidogo wataanza kuwauza waTz hawa.
 
Tunashukuru kwa taarifa, kama hawahusiki wanatafuta aliyevujisha siri wa nini, hii inaonyesha moj kwa moja wanahusika. Bado kidogo wataanza kuwauza waTz hawa.
<br />
<br />
afisa uhamiaj aliyekua mstar wa ,mbele kufuatilia alilia baada ya wenzake kumtosa
 
Kwani ilke kesi ya IPP na Quality grp iliishaje?. We may need to read btn lines.
 
Katika hali isiyotarajiwa idara ya uhamiaji inahusika na biashara ya kuuza binadamu,,,,taarifa ambazo leo zimeripotiwa na gazeti la nipashe zinasema kuwa baadhi ya maofisa wa uhamiaji wanajihusisha na uingizaji wa raia wa kigen kutoka Pakistan,inasemekana kuwa maafisa hao huwapa vibali fake na baadae wapakstan hao huenda kufanya kaz kwenye viwanda mbalimbali hapa jijin na jijini mwanza,kampun ambayo hushirikiana na maafisa wa uhamiaji inaitwa Altaf & CO.PK ambayo mmiliki wake anaitwa HUSSEIN ALTAF,duru zinasema kuwa kampuni hiyo imeweza kuingiza jumla ya sh 430 mil kwa kuingiza wapakistan 43;ambapo kila mmoja hutakiwa kulipa shilingi milioni 10,habari zinasema kuwa wapakistan hao wanafanya kazi kwenye viwanda vya ndondo,miongoni mwa viwanda hivyo ni IRON STEEL,SIMBA STEEL vyote vya dar es salaam,na pia NYAKATO STEEL cha JIJIN MWANZA,Ingawa idara hiyo imeulizwa imekana na sasa inamsaka aliyetoa siri hiyo ni nani.
Akhsanteni
Sosi:NIPASHE JUMAPILI
Idara ya immigration wanaihujumu Tanzania kwa kasi ya kutisha
 
Kweli Vuai anakazi na hiyo Kampuni maana imekuwa kinyaa,Tatizo si wapakistani tu wapo raia wengi wakigeni wanapatiwa vibali fake hasa wahindi na wachina ambo umekuwa ni mradi wa watu wachache ndani ya Idara hiyo kuji tajirisha, Nipashe imenukuu Mikoa miwili tu lakini tatizo lipo takribani Tanzania nzima hasa mikoa yenye wawekezaji wakigeni kama Arusha,Kilimanjaro,Mbeya na mingine,Vibari fake vingi hupewa wageni walio kwenye ukandarasi wa Barabara na miradi mikubwa ya Serikali ikiwashirikisha wabia.Kampuni nyingi za Ujenzi hasa za wachina wana vibali fake.Na hii ikowazi tatizo hili lina julikana kwa Viongozi wote wa Idara hii akiwemo Kamisha wao.Zipo Kampuni nyingi zenye wageni wanao ishi kimagumashi Mfano
 
Siyo hivyo viwanda hata viwanda vya nguo vyot vya wahindi kunaWahindi huwa hawatoki nje kabisa maana hawana vibali na pia mchezo huo hupo URAFIKI kiwanda cha nguo kuna wachina wanakuja kama wanatembelea jamaa zao baadae anapewa cheo ambacho hata hana ujuzi nacho.Kweli nchi IMEUZWAAAAAA
 
Back
Top Bottom