Uhamiaji na kiingereza cha kuvunjika vunjika

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,503
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika

Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa Kiingereza cha std3
 
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea kiingereza cha kuvunjika vunjika

Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa kiingereza cha std3
najua hawa polisi hamna kitu ,swali lilisemaje

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika

Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa Kiingereza cha std3
1626097728071.png
 
Hao watalii wanaona shida gani kujifunza kiswahili waweze kuwasiliana......achaneni na huo utumwa, yaani upo nchini kwako unalazimika kuwa mtumwa kwa lugha ya mwingine.
 
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika

Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa Kiingereza cha std3
Unazani ni kosa lake basi,ni mfumo mkuu:huyo alisoma english kwa kiswahili,na alisoma kuanzia darasa la nne.hakupanda school bus.wa hivyo tunao wengi hadi maprofesor,wanaandika vizuri sana,lakini spoken english ni changamoto kubwa.Amini hii,umfuatilie tuu hata waziri mwenyewe dhamana ya elimu utathibitisha hii
 
Back
Top Bottom