Bonnie1974
JF-Expert Member
- Mar 19, 2008
- 407
- 16
Utajuaje kuwa mtoto huyu ni bastard,na yule sio.Hilo la kwanza kuhusu maadili haliwezi kujadilika, kwa sababu tayari maadili kwenye jamii yetu yako lowest, hayawezi kwenda low zaidi ya yalipo sasa. Ukahaba wa sasa uko-wazi ingawa hauko legal, ni vizuri kama ukawa legal lakini si kweli kuwa kulegalize kutapunguza maambukizi. Kwa sababu waambukizaji wakubwa sio wao, kuna utafiti mmoja mdogo ulifanyika ukagundua kuwa, wanafunza wa shule fulani fulani za sekondari ndio wako infected zaidi na wako vulnerable zaidi kuliko makahaba.
La pili kuhusu maadili ya kuufanya ukahaba uwe chanzo cha mapato, sioni kama kunapingana na maadili yoyote, mbona sasa hivi ufisadi ni chanzo kikubwa cha mapato kwa baadhi ya watu? mbona hilo halikemewi ipasavyo? Hata hivyo ni kiasi gani ambacho serikali inapata kutokana na soko la ukahaba. Hatuna makahaba wa kutosha kuweza kuwa na ukahaba industry ya kuifanya iwe sehemu ya source ya income hata ukusanyaji wake wa kodi utakuwa mgumu sana. Unless kuwe na madanguro ambayo hata hivyo watanzania mafuska hawatakubali kwenda.
Hii issue ni debateable sana, kama ni kuishughulikia tuanze kwanza na majumbani, kusiwe na watoto bastards kwanza na familia lazima zichukue wajibu wao wa kuhakikisha hazi-produce watu wa design hii.
Suala hili tunalojadili halina uhusiano na mabastard.
By the way,hatupaswi kuchunguza familia zetu au kule tulipozaliwa kwani kwa definition ya bastard basi tutakuta asilimia kubwa ya watoto waliozaliwa na wanaozaliwa ni mabastard.
TUNALEA WATOTO WETU KWA IMANI KUWA NI WATOTO WETU.SI BUSARA KUWACHUNGUZA SANA.VINGINEVYO NI MATATIZO MATUPU..... NAKUSHAURI NDUGU YANGU HILI LA MABASTARD LINAHITAJI TAFAKARI YA KINA NA TOFAUTI,TUSICHANGANYE NA HILI LA MAKAHABA.
Lakini niulize swali , Nani kasema mabastard ndio wanaturn kuwa maprostitute.Hili sio sahihi.
Mwisho ninaamini kwa hapa tulipofika kama taifa , amini usiamini ,industry ya ukahaba ipo na inaendelea kuwa kwa kasi.Once ikihalalishwa na kuanza kuoperate watu watakwenda tu huko.Hilo sio tatizo.