Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

Duh Mkuu uyasemayo Ni kweli, mwaka 2023/2024 utakuwa mwaka mgumu sana, njaa na machafuko ndani na nje ya nchi itakiuwa ni Jambo la kawaida, debe la mahindi laweza nunuliwa kwa shilingi 70,000/=

Mifugo itakufa saana na watu watakufa Sana kwa njaa, yeyote asomaye Uzi wa mto hoja na achukue tahadhari, mvua zitakuwepo kwa miezi ya 01/ 2023 na watu watapata chakula Ila sio sana, hivyo kwa mwenye uwezo na ahifadhi chakula.

Rais na Mwenyekiti wangu ndugu Samia Hassan , sioni dalili za yeye kumaliza miaka yake ya utawara(Mungu amsaidie),, hivyo tujiandae kwa utawala mwingine wa rais wa kiume.
Kumbe zile story za Tumia akili za FDR Bado zipo kichwani sio!!?

Ngoja tuone!!
 
Wakuu

Mpango huu uliratibiwa vizuri Sana ili tushindwe kuzalisha chakula chetu Bila msaada wao!

Walikusanya mbegu zetu za asili za nafaka na wanyama,NASIKIA kuna stores kubwa Sana ya nafaka kwenye nchi za scandinavian kama norway n.k!

Halafu wakatuletea Mbegu zao za plastic za kisasa na mbolea,mbolea zikaharibu rutuba yetu ya asili Hadi Sasa hakuna unachopanda BILA mbolea ya mzungu kikaishi na kustawi!

Sasa Baada ya kuona phase zote za mpango zimekamilika wanakata suply ya mbolea wakijua ardhi ishaharibika na hakuna chochote kitakachopandwa kitastawi!

Njaa itatufanya tuwaabudu wao ili tupate msaada KWA conditions watakazotaka,hata kama wakisema tuwe wote mashoga !mbele njaa hakuna atakaepinga!!

Mwakani njaa,Tozo,uchumi kushuka n.k, nchi nyingi za Afrika hazitotawalika kirahisi,zitahitaji big brains kuziongoza!ndipo mabadiliko MENGI ya Tawala yatabadilika Sana hata hapa Kwetu Mwenyekiti atakiachia MWENYEWE BILA shuruti atapewa MWINGINE mwenye brain aongoze kipindi kigumu kijacho!

Wala hata tamani kiti tena,kitakuwa cha Moto Sana!

TUSUBIRI!
Asante sana mkuu,uko mbali kwa ufahamu,congratulations.
 
Duh Mkuu uyasemayo Ni kweli, mwaka 2023/2024 utakuwa mwaka mgumu sana, njaa na machafuko ndani na nje ya nchi itakiuwa ni Jambo la kawaida, debe la mahindi laweza nunuliwa kwa shilingi 70,000/=

Mifugo itakufa saana na watu watakufa Sana kwa njaa, yeyote asomaye Uzi wa mto hoja na achukue tahadhari, mvua zitakuwepo kwa miezi ya 01/ 2023 na watu watapata chakula Ila sio sana, hivyo kwa mwenye uwezo na ahifadhi chakula.

Rais na Mwenyekiti wangu ndugu Samia Hassan , sioni dalili za yeye kumaliza miaka yake ya utawara(Mungu amsaidie),, hivyo tujiandae kwa utawala mwingine wa rais wa kiume.
Nothing will happen sukuma Gang mpo brainwashed mnaomba mabaya kwa nchi yetu ili iweje
 
Mchele unazidi kushuka hapa Tandika Michelle mzuri unapata kwa 2200 kutoka 2800 haitotokea nchi yetu ipate njaa hata siku moja . Kama Taifa lilimlilia Mungu akamuondoa mkabila akaja sa100

Mwaka 2023 utakuwa mwaka mzuri sana
 
Nothing will happen sukuma Gang mpo brainwashed mnaomba mabaya kwa nchana
Nothing will happen sukuma Gang mpo brainwashed mnaomba mabaya kwa nchi yetu ili iweje
Mkuu Nadhani wewe ndo nikuite sukuma gang mkubwa,wewe si ndo ulikuwa mfuasi wa bashiru aliyetaka kupindisha urais wa mama yetu Samia ili aweke genge lake la wahuni ,au unadhani hukulikani!!?
 
Mbona siku nyingi hamna chakula, nenda Somali, nenda Ethiopia , njoo hapa Longido . Watu wanakufa mkuu
 
Wew ni mpumbavu hukua na haja ya kukomenti chochote kwenye hii thread ya mkuu mathanzua, kama waona ni upuuzi ungekaa kimya na kuipotezea sababu humpi hela ya bando wala huna mamlaka ya kumpangia chochote, wapo tuliomwelewa sababu anachosema ndio kinachotokea duniani kwa sasa.

Mpaka hapa kati yako wew na mkuu mathanzua wew ndio mpuuzi mkubwa na ulivyolijinga ukaona ujianike wazi na upuuzi wako.
Ukiona jitu linaongea sana lazima lina vina saba ya kike
Kiongozi wako anafungua mipaka nendeni mkamueleze hayo mambo yenu ya njaa
 
Mtoa post unatabiri vipi hali mbaya ya chakula wakati mvua hujajua zitanyesha kiasi gani? Kilimo chetu kinategemea mvua kwa zaidi ya 90%, kama mvua zitanyesha vizuri bila kuzidi au kupungua basi mavuno yatakuwa mengi sana tu. Usitishike na feae forecast za UN hao wana lengo la kutufanya tuwe na wasiwasi ili tuendelee kuwasujudu wazungu. Cha msingi tumuombe Mungu atuletee mvua sahihi ili tulime kwa nguvu tupate mazao basi maisha yaende.
 
Kuna kilimo cha Green House usisahau kuna watu wamewekeza Irrigation system ma-acre kwa ma-acre, hawategemei tena mvua wamejenga mabwawa ya kudumu ili kuondokana na hio kadhia ya kusubiria mvua kila mwaka, jaribu kufuatilia vizuri mkuu
 
Wanaweza lisha NCHI nzima Hao!?
 
Hivi mbolea ya viwandani inaizidi kweli mbolea ya samadi?.
Ndugu yangu we acha tu!!! Afrika tuna "Biomass" yakutosha inayozalishwa kwa mwaka anayoweza kukidhi hitaji letu la mbolea "organic". Lakini, kinachoendelea silielewi!
 
Maelezo meengi upuuuzi tu ,mbona unafungua post majukwaa tofauti tofauti what's wrong,kamweleze Rais wako sio sisi
Una changamoto gani Ndugu? Funguka usaidiwe, usijibebeshe mizigo mizigo kichwani kwa sababu utavunja UTI wa mgongo wako!!
 
Back
Top Bottom