Mhh! Mi nimetumia na cjapona
Ndugu yangu, mimi si daktari, lakini sina kawaida ya kunywa dawa bila kuthibitisha ugonjwa, huo mara nyingi ni ugimvi wangu na madokta wababishaji wanaokupima kwa macho. Iko hivi. Nilipima Regency Hospital wakacomfirm kuwa nina Gastric Ulcers, pia ninao wadudu wanaoitwa Heligobacta Pyrol tena wengi. Nikapewa dawa inaitwa HELIGO KIT (naweza kosea spellings). Nikatumia kit nzima nilipoenda kupima ikawa hola.Ulitumia na proton pump inhibitor? Au ulitumia antibiotic pekee yake? Na zilikuwa combination Ipi? Inawezekana hukupona kwasabab antibiotic ulizotumia hazikuwa effective, Na je ulipima kwanza kuona Kama unao hao bacteria? Au ulijinywea tu dawa kienyeji?
Ndugu yangu, mimi si daktari, lakini sina kawaida ya kunywa dawa bila kuthibitisha ugonjwa, huo mara nyingi ni ugimvi wangu na madokta wababishaji wanaokupima kwa macho. Iko hivi. Nilipima Regency Hospital wakacomfirm kuwa nina Gastric Ulcers, pia ninao wadudu wanaoitwa Heligobacta Pyrol tena wengi. Nikapewa dawa inaitwa HELIGO KIT (naweza kosea spellings). Nikatumia kit nzima nilipoenda kupima ikawa hola.
Nikabahatika kwenda nchini India Apollo Hospital wakapima tena wakakuta mambo yaleyale. Nikapewa dawa za kutumia kwa miezi mitatu mfululizo. Hiyo ilikuwa mwaka juzi. January mwaka huu hLi ikawa mbaya tena, kupima wadudu wako pale pale. March this year nikaanza kutumia dawa ya Netragen, hadi sasa hakuna kitu. Please help
Ni kweli kaka, hata mimi nafanya hivyo hivyo. Kila siku lazima ninywe anti acid vinginevyo huwa hapatoshi kabisa. Ikikupendeza please help me na hizo dawa ulizotumiaPole San ndugu yangu nilikuwa na tatizo Kama lako ila Mimi nilitibiwa hapa Japan Mara moja tu na likaisha ili antibiotic ziweze kufanya kazi vizuri ni lazima utumie dawa za kupunguza acid tumboni ndio uweze kuwaua hao bacteria kwasababu ni very resistant na dawa.
Mkuu dawa ya vidonda vya tumbo HAKUNA dunia nzima,wa marekani huo ni ugonjwa mkuu kwao.Ni usanii tu ila na wewe kama unataka kujiongezea kipato toka kwa wajinga poa tu ila mimi hunipati ng'o.
Hapa kwenyewe nakomenti vimenilaza kitandani tangu sa5 asbh kudadeki.
Kumbe tupo wengi!! Pole mi nimechoka hata kutumia dawa
[/COLOR]
yani wewe akili yako ni robo kibaba.hapo kuna biashara gani hivi kama nimelenga biashara hiyo mimea ningeiweka hapo hadharani.ebu fikiri sio kukurupuka kuandika.
Hata Mbuyu ulianza kama mchicha na hata Gamanywa alisema ni kituo cha ushauri,baadae akadai ni pastor,mda kidogo tena akadai ni bishop.
BALAKIHelicobacter pylori elicobacter pylori 8365315 said:If you like v2 vya asili, use this combination, it realy works coz I used it after long way with all those triple therapy but with reccurency. Mahitaj;Asali iwe asali kweli, either of small bee or da common one, raw egg, fresh milk. Chemsha maziwa kikombe 1 cha chai kisha acha yapoe yawe vugux2, changanya asali vjiko vya chai 2-3, koroga yai kwa kikombe tofaut, kisha changanya kwa ile mix ya maziwa. Hakikisha maziwa hayana joto la kuivisha na kuharibu yai au asali. tumia cku 3-5 mara 2/cku. NB huo mchanganyko unaeza kukera kwa wale wasozoea mayai mabich, tiba hi kwa wale ambao vdonda vyao havija advance sana
we ni jinsia gani mkuu??
Vipi unataka nikuowe? Maziwa yako saa 6 au alafajiri?
ata ningekua cjaolewa, nisingeweza kuwa na mume wewe kwa akili hiyo
Mwenye kufaham dawa ya vidonda vya tumbo.hasa za asili anijuze!