Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,792
Hepatitis B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kama (HBV) (Hepatitis Virus), hawa virusi kwa kawaida huingia mwilini mara moja na hubakia mwilini milele hakuna jinsi mpaka leo hii ambavyo unaweza kuwatoa tofauti na Hepatitis C ambapo dawa imeshapetikana kwa B hakuna dawa!
Hivyo basi pindi waingiapo unachoweza kufanya ni kuhakikisha tu idadi yake haiongezeki na hawakuletei madhara kwa kifupi ujue jinsi ya kuishi navyo mwilini mwako na muhimu klk vyote ni kwamba hivi virusi hushambulia Ini na hivyo kusababisha Saratani ya Ini ambayo haina Tiba!
Kwa nchi zilizoendelea walishatokomeza maambukizi ya hivi virusi ya HBV kwa maana maana watoto hupatiwa chanjo pindi wazaliwapo lkn huku kwetu kwa kuwa bado hatujafikia huko basi sisi wengi huvipata hivi virusi moja kwa moja ktk kwa mama zetu pindi tuzaliwapo!
Hivyo basi wengi wetu tunaishi navyo hivi virusi vya HBV na wengi tumevipata kutoka kwa mama sasa nawashauri Watanzania wote waende mara kwa mara kufanya Ultrasound ya Ini na kuchukuwa vipimo vyote vya ini lako ili uone kama limeathiriwa au la ili kama limeathiriwa unaweza kuanza matibabu haraka iwezekanavyo na kukuepusha na Saratani ya Ini ambayo haina Tiba!
Siku ukisikia fulani amefariki kwa Saratani ya Ini ujue sehemu kubwa ilikuwa na Hepatitis B ambayo hakuitilia maanani kwa sababu ambazo kama vile wewe utakavyoamua kupuuzia haya ninayokwambia na kuanza kunibishia mpaka siku utakavyoambiwa una Saratani ya Ini ambapo utakuwa umeshachelewa kwani hakuna tiba ya Saratani ya Ini!

Kila La Heri na shime Mtanzania anza leo kushughulikia Ini lako!