Ugonjwa wa Ebola waingia jijini Mwanza!

Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
944
545
Habari za hivi punde zinasema kuna mtu amegundulika kuwa na dalili zote za ugönjwa hatari wa ebola mkoani mwanza.

Chanzo: STAR TV
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa mtu mmoja amekutwa na Dalili zote za Ebola huko Mwanza


Source: STAR TV.....angalia taarifa ya habari leo usiku
Ugonjwa wa Ebola umegundulika umeshaingia Mwanza.

Na hapo ndani ya hema kuna hao wagonjwa wanatibiwa nje kidogo ya hospitali ya mkoa Sekou Toure...

attachment.php
 
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa mtu mmoja amekutwa na Dalili zote za Ebola huko Mwanza


source: STAR TV.....angalia taarifa ya habari leo usiku
 
Mgonjwa mmoja ambaye ni mtoto amebainika kuwa na dalili zote za ugonjwa wa ebora katika hospitali ya Sokotoure na kupelekwa Bugando ambapo hata hivyo imesemekana amerudishwa kupata sehemu maalumu ya kumuhifadhi ikiwa ni pamoja na kuweka mahema sehemu.
 
Tulipoambiwa hapa kuwa imeingia Kagera, aliibuka afisa afya akakanusha haraka haraka na kuponda kuwa ni habari za jf. Sasa imefika mwz. Nadhani sasa akili zitafanya kazi. Huu upuuzi wa kuficha maradhi ni kasumba mbaya sana!
 
mzee una hakika ya maneno yako?
rmo mwanza amethibitisha kupokelewa kwa mgonjwa huyo mmoja na amendaa eneo la milongo katikati ya jiji kwa ajiri ya kuwahifadhi wagonjwa wanaogundulika......
 
rmo mwanza amethibitisha kupokelewa kwa mgonjwa huyo mmoja na amendaa eneo la milongo katikati ya jiji kwa ajiri ya kuwahifadhi wagonjwa wanaogundulika......

Katikati ya jiji?

Hivi Ziwa Victoria halina some sort of a colony?
 
tulipoambiwa hapa kuwa imeingia kagera, aliibuka afisa afya akakanusha haraka haraka na kuponda kuwa ni habari za jf. Sasa imefika mwz. Nadhani sasa akili zitafanya kazi. Huu upuuzi wa kuficha maradhi ni kasumba mbaya sana!

wakanushe na hili bas c wanasiasa
 
Mtu mmoja amepatikana na dalili za ugonjwa wa ebola katika hospitali ya mkoa wa mwanza sekoture hii leo source star tv!
 
ya ni kweli, kulingana na taarifa za hospitali ya sekotoure na Bugando na pia kulingana na mwanahabari wa Star Tv Rogerz William anaonesha kuwa bado kuna changamoto ya eneo la kumuhifadhi japo bado anahisiwa
 
hapana kaka ziwa halina uhusiano

Kuweka wagonjwa wa ugonjwa wa hatari unaoambukiza kirahisi kama huu katikati ya mji ni hatari sana.

Ziwa linahusika kwa maana ya kwamba kuwepo na kisiwa maalum chenye "colony" la kuwaweka wagonjwa wote wa Ebola wa kanda hii, ili kusudi kupunguza maambukizi, kwamba mtu mpaka kukutana nao ni kwamba umeenda kwenye kisiwa hiki kwa shughuli mahsusi mostly kama ni mganga uliyevaa special gear.

Hapo ndipo ziwa linapohusika kwa sababu ni natural barrier.
 
Back
Top Bottom