ugonjwa wa DENGE

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Ni vyema kwa wale walio na uelewa mzuri wa huu ugonjwa ulioibuka wa DENGE kushare masuala muhimu ili kuikinga jamii. Masuala kama ya visababishi vya ugonjwa, dalili za ugonjwa, kinga za ugonjwa, tiba ya ugonjwa, madhara ya ugonjwa n.k ni ya muhimu kuelimishana.

Welcome Great Thinkers
 
ni ugonjwa wa aina gani.....I mean unaumwa sehemu gani ya mwili?
 
DENGERUA,DENGUE FEVER au DENGE LIPI?

Duh! Mkuu wewe ndiyo umenifungua kidogo napata mwanga huenda anaongelea haya magonjwa. Mimi mawazo yangu yote yalikuwa katika style ya kunyoa nywele inayoitwa "Denge", nikaanza kujiuliza how? style ya kunyoa iwe ugonjwa? au ni addiction au nini?. Duh!
 
DENGUE FEVER.... Huambukizwa na mbu waumao mchana. Jikingeni na mbu, paka mosquito repellant kama uko nje maeneo yenye mbu, spray your home and compounds , lala kwenye chandarua... in short.
Dalili - homa ya ghafla, maumivu ya misuli na viungo kama malaria ila hii ni kali hadi kuitwa homa ya kuvunja mifupa! , vipele kama vya surua, maumivu ya tumbo, kichefuchefu, kutapika na kuharisha...inatisha wandugu!
 
ni DENGE FIVA AU CHIKUNGUNYA FIVA?
 
chi nini?.......hueleweki
bongo mali yetu ni chikungunya fever,..na sio dengue fever na dalili zake ni sawa./..sasa tafiti hatuna matokeo yake tuna copy magonjwa ya wenzetu na tuna paste,.ingawa dalili zake ni sawa lakini virusi ni tofauti,.sasa ni ipi denge au chikungunya fever?
 
@ BM
Thanks nimekupata...sijui sasa kama ni ipi..ila inasemekana ni dengue!
@ Balantanda..asante kwa darasa
 
NILIUSIKIA HUU UGONJWA KIPINDI NILIPOKUWA undergraduate urusi...\\1999,. lakini na kwa mujibu wa PROF aliyekuwa anasoma LECTURE ya malaria alisema kabisa kuwa magonjwa yanayosemekana kuwa ni malaria AFRIKA siyo yote ni malaria,.na akatolea mfano wa Tanzania na CHIKUNGUNYA,.sikumuelewa vizuri,.lakini baada ya kupata publication zake sija sahau mpaka leo...
Tafiti bongo ni muhimu.,hii ni aibu,..lazima tutoe DIFFERENTIAL diagnostic CHIKUNGUNYA NI MALI YETU
 
DENGUE FEVER.... Huambukizwa na mbu waumao mchana. Jikingeni na mbu, paka mosquito repellant kama uko nje maeneo yenye mbu, spray your home and compounds , lala kwenye chandarua... in short.
Dalili - homa ya ghafla, maumivu ya misuli na viungo kama malaria ila hii ni kali hadi kuitwa homa ya kuvunja mifupa! , vipele kama vya surua, maumivu ya tumbo, kichefuchefu, kutapika na kuharisha...inatisha wandugu!
dadaangu bado unajitafuta? kuna kipindi uliomba kupewa maoni ya avatar gani utumie. umeona bora uwe ka invisible ka kike? back to mada. mbona sijawahi kuyasikia haya? ni mbu wale weusi? labda hao ni alliens
 
Dengue fever (pronounced UK: /ˈdɛŋɡeɪ/, US: /ˈdɛŋɡiː/) and dengue hemorrhagic fever (DHF) are acute febrile diseases which occur in the tropics, can be life-threatening, and are caused by four closely related virus serotypes of the genus Flavivirus, family Flaviviridae.[1] It is also known as breakbone fever. It occurs widely in the tropics, including northern Argentina, northern Australia, Bangladesh, Barbados, Bolivia[2], Belize, Brazil, Cambodia, Colombia, Costa Rica, Dominican Republic, Guadeloupe, El Salvador, Guatemala, Guyana, Haiti, Honduras, India, Indonesia, Jamaica, Laos, Malaysia, Melanesia, Mexico, Micronesia, Nicaragua, Pakistan, Panama, Paraguay[3], Philippines, Puerto Rico, Samoa[4], Western Saudi Arabia, Singapore, Sri Lanka, Suriname, Taiwan, Thailand, Trinidad, Venezuela and Vietnam, and increasingly in southern China[5]. Unlike malaria, dengue is just as prevalent in the urban districts of its range as in rural areas. Each serotype is sufficiently different that there is no cross-protection and epidemics caused by multiple serotypes (hyperendemicity) can occur. Dengue is transmitted to humans by the Aedes aegypti or more rarely the Aedes albopictus mosquito, both of which feed exclusively during daylight hours.[6]
The WHO says some 2.5 billion people, two fifths of the world's population, are now at risk from dengue and estimates that there may be 50 million cases of dengue infection worldwide every year. The disease is now endemic in more than 100 countries.[7]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom