ugonjwa wa ajabu help

waleoleo

Member
Jun 18, 2012
53
17
nin tiba ya nyama inayoota kwenye njia ya haja kubwa kwa wanawake? wengine wanasema mwanamke hawezi kuzaa mpaka ikatwe wengine haina madhara
 
nin tiba ya nyama inayoota kwenye njia ya haja kubwa kwa wanawake? wengine wanasema mwanamke hawezi kuzaa mpaka ikatwe wengine haina madhara

Si ugonjwa wa ajabu. Inawezekana ni Haemorrhoid au piles (kwa kiswahili inaitwa bawasiri). Inatokana na kutuna kwa mishipa inayorudisha damu kwenye moyo inayoitwa vein. Kamwe haina usiano wowote na kutopata mimba. Ila mwanamke akipata mimba akiwa na shida hiyo basi tatizo hilo laweza kuzidi, na huenda likapata nafuu baada ya kujifungua. Waone madaktari.
 
Back
Top Bottom