Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

Hakuna mdudu nisiyempenda kama kunguni....na siwez kulinda heshima ya mtu yeyte kisa kunguni....kiufupi siwez lala sehemu yenye kunguni by any cost
 
Nashindwa kuelewa hii nyumba niliyofikia hawa wenyeji wangu wanapata vipi usingizi. Kunguni niliowaona baada ya kulinyanyua godoro ni wengi utadhani mchanga umemwagwa hapo kitandani!

Siwapendi kwa usumbufu wao lakini pia unaweza kuaibika mbele za watu unakuta dudu limeshiba halafu linatembea kwenye nguo zako tena shati jeupe. Naona noma hata kumwambia jamaa kwa jinsi anavyokuwa akijipaisha. Wasiwasi wangu nisije nikatoka na mbegu hapa.

Nifanyaje?

Hahaa hapo lazima uondoke na mbegu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom