Uganda yaingiza vifaa vya kupambana na vurugu wakati uchaguzi mkuu!

Akina mkurunzinza wapo wengi afrika na vyama vyao ndio vinawapa kiburi siku afrika ikawa na demokrasia ya kweli tutaongoza kiuchumi duniani
 
Nakumbuka Pierre Botha aliwahi kutuzungumzia sisi Waafrika jinsi akili zetu zilivyo akiwa anahutubia bunge enzi za za white regime.Alisema sisi Waafrika uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana,hatupendi kujituma ktk kuzijenga nchi zetu,tumeweka starehe mbele.Kwamba Waafrika si watu wanaofikiria kesho yao,wayafanyao ni kwaajili ya leo yao tu.Waafrika ukiwapa silaha watawauwana mara moja.Utawala wa Museveni unatuthibitishia hilo.
 
Pieter Willem Botha nasio Pierre. Uongozi wa kufata demokrasia tena ya kutoka kwa wakoloni na nchi ambazo hazikuwa na koloni Afrika ni tatizo kubwa sana.Huwezi kuwa kwenye shida, mateso na ukatili wa kila aina alafu unajikomboa kisha unarudi kwa yule yule adui katili asiyekutakia mazuri kumuomba akufundishe jinsi ya kujitawala. Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Lakini kumbuka ni kipindi cha pita miaka hamsini na kitu tangu nchi nyingi za Afrika zipate Uhuru hivyo bado tupo katika mapinduzi ya kujitawala ki fikra, elimu, uchumi na Kadhalika.Na lazima ujue hayo maneno yalitamkwa na mtu katili, mbaguzi.
Hoja yako ya kumtumia Botha kama kielelezo tosha cha kuhukumu viongozi wa aina ya Museveni barani Afrika haina mashiko na kwa kifupi ni "total nonsense".
 
M7 angekuja kukodi haya ya kwetu manaake yamepaki tu.....labda wabalishe kazi waweke madawa ya fumigation
 
Hata mimi nimebaki mdomo wazi na hii concrete mixer ni shida.
 
Attachments

  • IMG-20160126-WA0018.jpg
    IMG-20160126-WA0018.jpg
    46.7 KB · Views: 62
Leo Dr Kiiza Besigye akamatwa na polisi kweli serikali zote za kiafrika ni moja yani Donald Trump alichosema safi sana.
 
Back
Top Bottom