Ufudu

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Kwa jina naitwa Ufudu mtoto wa panga la shaba,sijaoa nafurahi kujumuika nanyi leo hii.Naomba kujua majukwaa yenye msisimko nianze kuyapitia.

la SIASA STRESS
la wwakubwa UR NT MEMBA

NENDA LA INTELIJENSIA labda km u mfununu

bt MMU mambo yote..utacheka na kununa kwa wakat mmoja

ufudu?...upo?nimeumis nilikuwa naupenda sana bibi alkuwa anautengeneza songea kipindi ileeeeeeeeeeeee

Nielekeze MMU

Ufudu ni nini Rose??

Karibu sana ufudu,achilia mbali kuoa hata kama unataka kuolewa ni wewe tuu.........karibu sana

Back
Top Bottom