Kweli nimeamini prof kaamua vita na wafisadi.je je je.atawaweza? Unaweza kuta hata mzee wa kaya anajua kila kitu.
Waziri wa nishati na madini, prof. Muhongo ameweka wazi kuwa kuna wabunge wanaiuzia Tanesco nguzo na kwamba nguzo hizo zinatoka South Africa.
Prof. Muhongo amesema nguzo hizo zinatoka Mkoani Iringa zinaenda Mombasa halafu zinarudishwa Tanzania kwa jina la nguzo za South Africa!
Hili kweli shamba la bibi jamani!

Hapo kwenye red. Kimsingi hayo ndiyo miongoni mwa majukumu ya USALAMA WA TAIFA wakishirikiana na taasisi nyingine za ulinzi wa taifa letu iwe kiuchumi, kijamii, n.k.
Ni aibu kwa UWT kuacha au kushindwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kama hayo na kujiingiza kwenye masuala yasiyo na kichwa wala miguu. Moja kwa moja huu ni UHUJUMU UCHUMI wala hakuna lugha nyingine rahisi au kumung'unya maneno kunakohitajika kuelezea hilo.

Tumeliwa kwa miaka mingi, sasa ukweli umethihirika. Naomba wote waliohusika kulihujumu taifa kupitia njia hiyo wafunguliwe mashtaka.
Hapo kwenye red. Kimsingi hayo ndiyo miongoni mwa majukumu ya USALAMA WA TAIFA wakishirikiana na taasisi nyingine za ulinzi wa taifa letu iwe kiuchumi, kijamii, n.k.
Ni aibu kwa UWT kuacha au kushindwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kama hayo na kujiingiza kwenye masuala yasiyo na kichwa wala miguu. Moja kwa moja huu ni UHUJUMU UCHUMI wala hakuna lugha nyingine rahisi au kumung'unya maneno kunakohitajika kuelezea hilo.
na hili ni eneo moja tu kwani kuna maeneo mengine yanatisha si kidogo
Chakujiuliza je huko TISS, kuna hiyo idara ya kushughulikia haya mambo? Maana tumesikia zoka ni mkuuwa idara ya siasa. Je ya Uchumi ipo huko TISS?
Kuna mtu aliniambia kuna watu wanapiga dili la la TRA viule vimashine vya kodi na link ya FIBER ta TANESCO, ilikuwa jamaa waende direct kwa TANESCO ila kuna mtu wa kati kachukua hiyo issue.Yeye anakula mabilioni TRA analipa maelfu TANESCO.
Hiyo TISS nayo ni ya kuvunja na kuunda upya ikiwa ni pamoja na majukumu yao kurekebishwa ili yaendane na wakati tulio nao sasa; wakati ambao ni wa siasa za maji taka; wakati ambao ni wa wenye madaraka kutumia madaraka yao vibaya kwa faida binafsi wao, familia zao, marafiki zao, na hata makundi yao katika jamii. Idara hii "waajiriwe" watu kwa utaalamu na weledi wao badala ya kuingia kwa "vimemo". Ikiwezekana kuwa na chombo maalumu ambacho idara hii itawajibika kwacho badala ya kuwajibika kwa Rais kama ilivyo sasa.
Si hayo tu, amesema pia anayo listi ya majina ya Wabunge wote Wanakamati wanaoisimamia TANESCO ambao wana makampuni yanafanya biashara na TANESCO na hivyo kuwa na mgogoro wa kimaslahi na kushindwa kuisimamia.