The system is wrong. Makatibu Wakuu ni Miungu - Hata Waziri hamfikii
THE SYSTEM IS NOT WRONG AT ALL!
PS ndio CEO ila CEO anapo abuse madaraka ndio wrong.WAZIRI SIYO MTENDAJI bali "mpiga debe" wa chama kilichoko madarakani. Anasimamia sera na ilani ya chama.Kiutendaji, KM/PS anasimamia utendaji kitaalam wizarani, ndiyo account holder.Mshiko anaidhinisha yeye.
Waziri anaweza kuziona kwenye makaratasi na akiwa na jeuri hapati kitu!Hiyo gia ya kutokusalimiana anayekula hasara ni Waziri lol.
Subiri kama hutasikia rais anamuomba arudishe hizo hela alafu amsamehe.Haitoshi kujiuzulu au kuwajibishwa kama haya yaliyosemwa ni kweli kwa asilimia hamsini tu basi sehemu yake ni jela tu!
2. Ametengua utaratibu rasmi wa kila Idara ya Wizara ya Afya kuwa na afisa manunuzi wake badala yake ame centralize kwake mwenyewe. Kwa maana hiyo, manunuzi yote ya Wizara anamlazimisha (Comand) Mkurugenzi wa Kitengo cha Manunuzi kumpa kazi zote ndugu yake anaeitwa Donatha Koko
Quote (Mwishoni mwa mwaka wa fedha 2009/2010 alihamisha kiasi cha Shilingi 1,968,475,931 mali ya Wizara ya Afya kwenda National Institute for Medical Research (NIMR) bila kibali cha hazina kwa matumizi yasiyojulikana. Fedha hizi zilikuja kuhojiwa na CAG katika ripoti yake ya serikali kuu ya mwaka 2009/2010) Quote
If this is true then: Dr Mwele Malecela anauhusiano upi na huyu mama? Kama sijakosea yeye ndio bosi wa NIRM; je haka kamchezo anakajua? Ukiangalia vizuri kuna chain ya watu fulani fulani inabidi wawajibike na huyu mama Nyoni if the accusations are true.
Well, unadhani ni sehemu gani ya ofisi za kibongo haya yaliyoorodheshwa hapo juu hayafanyiki?
Tafakari!