Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Unachozungumza mkuu, ni kweli kabisa.
Huyu nyoni ni jambazi kupita maelezo.
Naomba uni PM, nikupe mkanda mzima ili iwe part 2, just do that pls.
PM kwa invisible mkuu tuinyoshe nchi hii!! Tumempa nafasi ajiuzulu bado anasita! Invisible mpe confidence kijana!
 
Blandina nyoni wakati akiwa utali alitoa dola zaidi ya laki tatu kwa juma pinto parter wake wa karibu kutangaza utali hewa uk
 
pili katika kampuni ya matangazo ya jambo leo bi blandina nyoni amepeleka matangazo yote ya wizara ya afya bila kutoa tender ili watu wasiindanie
 
Blandina Nyoni atangazi tender ukimjua ndio unapata ni fisadi ambaye ana mipaka sasa hivi kafungua saloon pale benjamin mkapa anajifanya mtu safi wap4
 
Simpendi huyu mama kwa kujifanya Mungu-Mtu. Lakini hapa kuna tabia mbaya imezuka ya kuwasema wale ambao hatuwapendi na kuwatetea wale tunaowapenda hata kama ni mafisadi pia. Hebu ona mtoa hoja ametumia hoja za CAG. Nani asiyejua kuwa CAG ni mtetezi wa mafisadi na kama angekuwa na aibu angekuwa ameshajiuzulu siku nyingi. Sasa unatumiaje ripoti ya mtu asiyeaminika kusema mtu ni fisadi?
 
Amejengesha banda la maonyesho kwa kupitia akaunti ya NIMR kwa Tsh Bilioni 1.5. Ukiliangalia banda lenyewe pale Nane Nane Dodoma utagundua kuwa thamani yake halisi si zaidi ya Mikioni 400 au 500. Kwa hiyo hapa Blandina na shoga yake Mwele Malecela wamegawana si chini ya Bikioni nzima
 
Ripoti za internal Auditors pale afya ni feki zote maana humlazimisha CIA atoe vitu vitavyoichafua wizara!!! Internal Auditor anamuogopa mno mama!
 
Mkuu kweli umechimba zote hizi ni kashifa lakini kwenye nchi hii ya makashifa nani atasikiliza? Maana ingelikuwa Mkuu wa kaya Magogoni anasikiliza ni siku nyingi angeliisha muhamisha huyu mama na waziri wake au kuwasimamisha kazi ili uchunguzi kwenye hiyo wizara ufanyike kuwahusu.

But all in all jamaa cha moto wa madaktari anakiona. This is a booster for the opposition, people to see the true colours of there government!
 
hivi vitu kama vimehalalishwa serikalini jamani! Rushwa imepita kiwango na hakuna hatua zaidi ya kujiuzulu!! Huyu mama ni wa jela kabisa iwe funzo!
 
The system is wrong. Makatibu Wakuu ni Miungu - Hata Waziri hamfikii

THE SYSTEM IS NOT WRONG AT ALL!
PS ndio CEO ila CEO anapo abuse madaraka ndio wrong.WAZIRI SIYO MTENDAJI bali "mpiga debe" wa chama kilichoko madarakani. Anasimamia sera na ilani ya chama.Kiutendaji, KM/PS anasimamia utendaji kitaalam wizarani, ndiyo account holder.Mshiko anaidhinisha yeye.

Waziri anaweza kuziona kwenye makaratasi na akiwa na jeuri hapati kitu!Hiyo gia ya kutokusalimiana anayekula hasara ni Waziri lol.
 
wafanyakazi afya wanalia...anajifanya anabana matumizi wakati yeye anapiga maposho na madili kibao,afya pale njaa tupu
 
kuna data za kutosha kuhusu huyu mama ili msituletee kesi ndefu kama ya akina Mramba! Sheria zimevunjwa wazi awekwe ndani bila dhamana kwanza!
 
Waulize World bank kuhusu huyu mama, ni mafia huwezi amini!! Wazungu wanatushangaa tu utafikiri hatuna intelligence security system!
 
jamani jamani jamani, watu hawana huruma, mimi siamini watu wakisema serikali haina hela waseme serikali ina mis use hela ndo ntawaelewa, hela zote hzo wakati watu wanakufa kwa kukosa zahanati karibu siwezi kum judge ila Mungu afanye kazi yake kwa kweli.
 
Amenunua vingamuzi vya magari manne kwa shilingi 1.3 Billioni. Hivi vingamuzi vya magari ni tv au ni nn naombeni mnielewesheni. Kama ni tv vya kwenye magari kwa bei hii anayosema Tumbiri kama ni kweli ni kifungo cha maisha. Vingamuzi vinne hazizidi 4milioni.
 
Back
Top Bottom