naomba mwenye ile taarifa ya kusitishwa mkataba kati ya marie stopes na NHIF
Nje ya maada
hawa Marie Stopes ya kuwa ni shirika la kishetani linaloendesha kampeni za uuaji kwa chinichini kupitia tiba zao. Ukiangalia wamejikita zaidi kwenye tiba za watoto na huenda kuna vitu visivyofaa wanavyopandikiza kwa watoto. Sikuwahi kusikia wakikanusha madai hayo, so people be careful na tiba za hawa watu.
Nashukuru sana kwa jitihada hizi, kwani kuna rafiki yangu alinyanyaswa sana na huyu bosi mpaka kufikia kumfukuza kazi, kwanza alimuhamishia mkoa wa porini sana ambao hakuna anayekubaligi kwenda ( Mkoa fulani hivi wa Kusini mwa Tanzania ) Namatumaini kilio hiki kimewagusa wengi sana, tuendelee na uwazi na ukweli kama hivi kwani kuna siku watabadilika tu, na hiyo siku iko njiani.
Asante Sana....
Museeee unafukua makaburi??mulika mwizi meeen