jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Niger inageuka kuwa kete muhimu ya vita vya kiuchumi katikati ya mataifa nguli na yenye misuli duniani.
Viashiria ni kwamba sera za mfaransa Africa zimetikiswa ndani ya wiki hii ambapo Niger anaenda kumkataa mfaransa kama mshirika wa kihistoria kiuchumi.Jambo ambalo linaenda kutishia uchumi wa ufaransa uliokuwa unategemea makoloni yake ya zamani.
Ufaransa anaumizwa katika kipindi kigumu kwani almost makoloni yake yote yamemtupa mkono huku urusi akihisiwa kumkandamiza kistratejia. Je Ufaransa atapata msaada kutoka umoja wa Ulaya???
Italy kwa upande mwingine amechukizwa na uzembe wa mfaransa unaopelekea wakimbizi wa kiuchumi kutoka Africa kuendelea kumiminika huko Italy...huu ni mparanganyiko mkubwa sana unaoashiria vita vya tatu vya dunia.
Nigeria amechelewa kushtukia hii game akikurupuka nchi itagawanyika mara tatu
Urusi ameamua kukinukisha kila kona ya dunia ili NATO itulie. Chonde Chonde kwa Tanzania....huu ni wakati wa kuboresha Sera yetu muhimu ya kutofungamana na yoyote...ndio sera bora ya muda wote.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!