Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,602
- 9,345
Ukweli ni kwamba sisi sheria zetu tumedesa kwa watu. Unabisha?
Kwa hiyo it is fair to say, Tanzania ndiyo imedesa sheria nyingi toka Uingereza.
Kumbe unajua, kwa nini uanze kutukana profession za watu.
Ni ngumu kupata maana halisi ya neno kutoka lugha moja kwenda nyingine.
Anyway, kama wewe unajua lugha ya kiingereza, fahamu ina utajiri wa maneno, tatizo litakuja kutafsiri hiyo rheria kuja kwenye kiswahili ambacho bado hakina maneno mengi.
Sheria zenyewe kumbuka zipo nyingi na nyingine nyingi zinatungwa, ndio maana hata uende India, mahakama zao wanaongea kiingereza unless mahakama za chini.
Nadhani unapata picha halisi, pia we angalia ugumu unaokuja katika elimu kufundisha kiswahili, jiulize Doctors wataweza kubadili maneno ya kiingereza na kilatini yaliyomo kwenye vitabu tunavyovitumia kama mwongozo? Engineers je?
Nadhani jibu ni rahisi sana.