udsm walishaita kwenye usaili nafasi za 14 january?

huyu jamaa kilaza ashaanza uznbar na utanganyika humu jf! nan kakwambia udom ni chuo cha wazenj?
 
kuna watu wamepiga interview wiki hii ila post zile za utawala/ na matechnician so sijui zilitangazwa lini ila kama ni hizo tayari
 
Wameita mkuu mimi nilifanya interview Juzi tar 28/Feb/2013 Alhamis hii, ni zile kazi za Utawala
 
kuna watu wamepiga interview wiki hii ila post zile za utawala/ na matechnician so sijui zilitangazwa lini ila kama ni hizo tayari
Ndo hizo hizo mkuu mimi pia niliitwa nimefanya Usaili Alhamis tar 28.
 
Ufafanuzi: UDSM wameanza kuita nafasi nyinginezo kama Artisan lakini si Maafisa Tawala.Utaratibu wa kuita ni kuwapigia simu wanaoitwa kwenye usaili. Kama hautapigiwa simu,basi jaribu mara nyingine. Juma lijalo ndilo la kuita Maafisa Tawala.Kaa chonjo!
 
Back
Top Bottom