grysn
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 266
- 35
gud sana, bro___ na kuingia hostel lazma mpaka regstration ....!! nikifka pale maeneo ntajitaidi niwe mtu wa pili kua regstrared kama sio mtu wa kwanza...��������
inachezea hapo cha muhmu fanya kama lak 2 direct cost pamoja na hostel, kumbuka pesa ya kujikimu huku ukisubiria boom,