Mr Denis
Member
- Jul 2, 2012
- 84
- 12
uchaguzi wa viongozi wa DARUSO (dar es salaam university student organization) umekamilika na bwana KISANGO kuchaguliwa kwa kura kati ya 2000 na 2500 ila wanafunzi wote wapo karibu 19000.
naomba kutofautiana na woootee munaoushangilia ushindi wa bwana kisango ambaye kwa wasiomjua vizuri ni kada wa SISIEM huko kijijini kwake akitumikia kama kiongozi wa vijana, Na pia kuingia kwake uongozini ni kutokana na nguvu ya bwana m1 aliyewahi kuingoza DARUSO maarufu kwa jina la KIPARA kwa sasa bwana kipara anatumikia sisiem na mpango wa kumweka huyu bwana aliusimamia na ndiyo maana kwa wanachuo UDSM wafatiliaji mtakubaiana na mimi kipara alionekana maeneo tofauti chuoni kipindi cha tarehe 21 na 30 march.
pia yasemekana (haijathibitishwa na mimi bali rafiki yangu kuwa) tume ya uchaguzi walikutana na kipara pamoja na wengine maeneo ya tegeta kama kawaida kufanikisha hila zao kuweka viongozi wabovu DARUSO kwa masilahi ya sisiemu.
sina maana kuwa bwana yasini alikuwa msafi kwani anaandamwa hadi leo na kesho na makosa ma5 mahakamani juu ya upotevu au kwa maneno mengine ubadhirifu wa pesa za DARUSO zaidi ya mill 40 akiwa kama waziri mkuu aliyemaliza muda wake. kesi iyo ilipaswa kuamuliwa na judicial board ambayo ndiyo ilimwezesha kupenya hadi kugombeaa uraisi japo aligaragazwa na bwana kisango.
yote haya yakifanyika kama kawaida ofisi ya pilato (DINI WA WANAUDSM) anafahamu mchezo wote ila coz UDSM pamegeuzwa pango la kufinya uhuru wa kuzungumza ukweli na ukijaribu kuweka wazi unaishia kutishwa ama kupewa likizo ama kutimuliwa chuo kabisa basi all these have been silenced.
tusibilege, nae vice presider ambaye nae
kawekwa tu kwa mapenzi ya huyo huyo pilato kwani wapo walioambiwa hakuna haja ya kucontest vice post coz tayari bint wa mwaka wa 3 (tusibilege) atapewa nafasi hiyo na ndivyo ilivotokea.
kama wewe ni mwanafunzi wa UDSM anbae interaction yako na wanafunzi ni kubwa hasa waalimu wa mwaka wa piliutakuwa ama umepata kuyasikia haya yakizungumzwa ila kwa mkato wa tamaa kisango akachaguliwa.
ushahidi wa awali kuthibitisha hayo
1) kwa nini kati ya waalimu 9 kati ya wanafunzi 13 waliochukua fomu ya uraisi hawakupita screening?
2)kwa nini siku ya uzinduzi wa kampeni wagombea wote walizomewaaa? na hapa kumbuka kisango hakuwa na hoja aliishia kutoa vyeti vya CV jambo ambalo halikuwahi kutokea kwani uongozi ni sera bora na c CV
3)UDSM ina wanafunzi zaidi ya 19000 ila waliopiga kura walikua 3200 na kati ya hao kisango alishinda kwa kura 2000 na point kadhaa
4) kwa nini bodi ya rufaa ilijiuzulu bila kusikiliza rufani zilizowasilishwa?
5)kuna mabwana waliogombea na wakakata rufaa ila hazikusikilizwa kwa ubabe wa dean
na mengine unauoyajua
maoni yangu.
msitegemee mabadiliko DARUSO
UDSM is the best university in tanzania and africa in killing democracy
tusiwe mashabiki wa mambo tufanye tafiti ndipo tusifu ama kukosoa jambo
kisango ni bright darasani lakin kwa daruso ya sasa SINA IMANI NAE
naomba kuwasilisha