UDSM.baada ya boom kuingia leo mchana sasa ni zamu daruso(serikali wa wanafunzi) kung'olewa

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,196
kutokana na kile walichokiita ufisadi na uzembe wa serikali ya wanafunzi, uma wa udsm umeadhimia kuiondoa daruso rasmi kuanzia kesho,kwani tokea migomo na maandamano vianze daruso aijawai kushiriki..

Hadi sasa hali ni mbaya na tete maandamano mwanzo mwisho,vyakula vimeliwa bure cafeteria ile ya yombo.fimbo hadi vyumbani,waliokua madarasani saa 1 jioni (sasa hivi) wamepigika ile mbaya.kwa ufupi hapafai..
 
Du mwendo mchibuyu kama mbwai mbwai bil 64 wamezichakachua hv hv..Komaeni ila hakikisheni mnachoma hata Jengo moja la utawala.

mkandala jasho la damu linamtoka na inasemekana ata mkuru wa magogoni anausika kutoa baadhi ya maamuzi kisa alizomewa mbele ya mseveni.hadi sasa saa mbili kasoro vumbi lilelile..kimenuka!!!
 
Yeah, sasa mda huu sa mbili na dk 41 usiku ndo wanaingia hapa hostel za mabibo wanahamasishana ile mbaya, ngoja nipate wasemacho.
 
kesho shughuri iko palepale hadi kieleweke.

Hiyo ni kweli kabisa maana maazimio yaliyopitishwa na wana udsm usiku huu hapa mabibo hostel ni kua kesho uongozi wote wa DARUSO kung'olewa madarakani na mpambano unaanza saa 2 asubuhi. Jamani mimi raia tu, nawatakieni usiku mwema.
 
Mbona maandishi yenu yanatia shaka kama kweli ni wanachuo? Duuh, watu wanashtuka kusikia mwanafunzi wa darasa la saba hajui kusoma, lakini hiyo naona ni similar tu na hayo maandishi!
 
umeingiaje mabibo kaka? Kama sio mwanafunzi maana pale kuna uzio kama wa kufugia kuku.
 
kutokana na kile walichokiita ufisadi na uzembe wa serikali ya wanafunzi, uma wa udsm umeadhimia kuiondoa daruso rasmi kuanzia kesho,kwani tokea migomo na maandamano vianze daruso aijawai kushiri..

Hadi sasa hali ni mbaya na tete maandamano mwanzo mwisho,vyakula vimeliwa bure cafeteria ile ya yombo.fimbo hadi vyumbani,waliokua madarasani saa 1 jioni (sasa hivi) wamepigika ile mbaya.kwa ufupi hapafai..

Mkuu kumbe nawe uko udsm
 
Mbona maandishi yenu yanatia shaka kama kweli ni wanachuo? Duuh, watu wanashtuka kusikia mwanafunzi wa darasa la saba hajui kusoma, lakini hiyo naona ni similar tu na hayo maandishi!

wapi panatatanisha mkuu au unataka uonekane wewe ni msomi wa hali ya juu usiyekosea.unataka kumfurahisha nani mbona hatujuani humu jf?
 
Nakumbuka hall II
floor ya 8,rum namba 432,
Jirani zangu hall V Na hol III,
haya g0men
 
Hahaaaaaaaa Nimekaa hall II,hall V na Hall VI,nilishamaliza hapo UDSM ila nawasupport sana kwahyo movement mpaka kieleweke hakuna kulala
 
Sir, How did you kill 50
people in a
car accident? The police
man
asked?, He replied: i was
driving 40mph, when i tried to
stop i
found out that i have no
breaks,
and i saw two men
walking on the street and a wedding on
the
other side of the street,
who
should i hit? The police
man answered: of course the
two
men,less damage. Man
said: that's what i
thought to
myself, but when i did it, i hit only
one and the other one
ran to the wedding, SO I
WENT
AFTER HIM..
 
Back
Top Bottom