UDOOOOOOM ni uozo mtupu

sterling

Senior Member
Aug 6, 2011
159
29
[h=6]nimevumilia nimechoka bora kusema ukweli; hii nchi kuna uzembe,ujinga na majina yanayofanania..
1. unamaliza chuo unagraduate hata trancripts bado..hiyo haitoshi chet had 1 yr ipite.. tutafika????
2. mahali uliposoma wanatangaza kazi unaapply hawachukui wakufunz wake wanaajili wengne..c matope hayo!!!asa mnafanya nin basi fungeni hizo institute zenu..hazina msaada
3. wanaleta malecturer kutoka nje wakati watz kibao wamefauru vzur na hawana kazi...wanatengeneza nin hapo...watz watapata kaz nje pia????na wanawafundsha wa nin kama hawawaamini...fungeni hivo vyuo mtutafutie vya majuu
4. nasoma tz..mwngne kasoma abroad(cjui ndo wenye meno) tunatafuta kazi wote watz kazi za kiajabu ajabu tu..wenye nazo zinazopay...nimechoka
5. aliyesema watz hatuwezi nani..hiyo miradi mngetuachia tujitutumue tusingeweza????sehemu nyeti ndo za wageni wazawa aaahhh huu uzalendo gani jmn????[/h]
 
Pole sana Sterling.....ulitegemea nn kama viongozi wote wa UDOM ni vipandikizi na ndio maana malecturer wenye akili wakinusa tu UDOM wanakula kona. Mi nilivumilia kama miaka miwili lakini baadaye nikaona aging rate inaongezeka nikaamua kula kona. In fact UDOM ni trap kwa vijana wengi has wakishakupa mikopo yao na kukusomesha postgraduate "diploma" ambayo wenyewe wanaita Masters then umekwisha....lazima ugande pale Jangwani miaka 5 na ukiongeza na PhD ndio kabisa tunakusahau...
 
UDOM aka CHUO MAJENGO ni cha ovyo sana! Kinaongeza vilaza tz hii. Kozi ya miezi minne inafundishwa kwa wiki mbili,maajabu mengine duniani!
 
unachokisema kiko wazi kabisa!!!! hata mimi mwenyewe nashangaaa na inauma sana pale nilipopata taarifa kwamba hadi kufikia wiki iliyopita wanafunzi wa conas walikua hawajaliona bum la kwanza semister hiii!!!! huu ni uozo na umaskini wa fikra!!!! tutaendelea hivi hadi lini?????
[MENTION][MENTION][/MENTION][/MENTION]
 
[MENTION][/MENTION]
 
Lakini, ndo tuone vijana coz wengine mpaka siku ya mwisho unakuta bd anapigia kura ccm. Sasa, mabadiliko yanahitajika!
 
UDOM aka CHUO MAJENGO ni cha ovyo sana! Kinaongeza vilaza tz hii. Kozi ya miezi minne inafundishwa kwa wiki mbili,maajabu mengine duniani!

Bora hizo za wiki mbili, kuna kozi mimi nilisoma siku tatu tu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
ninashukuru kwa michango yenu, nilikuwa ninaaplly masters chuo fulani hapa bongo ila kukuandikia barua ya recommendation inachukua mwaka wanaleta complications zisizo na ukweli... kinachofuata ni kuwalipua katika vyombo vya habari na kuweka uozo wao hadharani ili wadogo zetu waujue na wasikubali kwenda kusoma huko... binafsi nitatumia yale ninayoyajua maan nimekuwa kiongozi kwa muda pale.... siku si nyingi nitawalipua ili wajue kuwa tumewachoka... ufisadi wa effu 20000 za watu waliokwenda graduation na mengine mengi mpaka wizi wanaofanyiwa wanafunzi katika ofisi ya finance wakiongozwa na mlacha
 
unachokisema kiko wazi kabisa!!!! hata mimi mwenyewe nashangaaa na inauma sana pale nilipopata taarifa kwamba hadi kufikia wiki iliyopita wanafunzi wa conas walikua hawajaliona bum la kwanza semister hiii!!!! huu ni uozo na umaskini wa fikra!!!! tutaendelea hivi hadi lini?????
[MENTION][MENTION][/MENTION][/MENTION]

Mia mkaka wa technical.
 
UDOM aka CHUO MAJENGO ni cha ovyo sana! Kinaongeza vilaza tz hii. Kozi ya miezi minne inafundishwa kwa wiki mbili,maajabu mengine duniani!

Ebwana eeeh, kama ndo hivyo inamaana hawa jamaa wenye first class toka hapo UDOM si lolote si chochote!? kuna mtu pia hapo siku za nyuma aliwahi kuniambia kwamba ilifikia kipindi mwanafunzi unakusanya matokeo yako toka vitengo mbali mbali, na unajitegenezea transcrip yako kisha unaipeleka utawala wanakungongea tu muhuri imetoka!
 
ACHENI KULIA TATIZO LA AJIRA NI WIM BO WA TAIFA HATA SISI WANA CHUO CHA TAIFA(UDSM) TUNASUFER ILE MBAYA KUHUSU MCHONGO WA AJIRA, SO KAA, FIKIRI, CHUKUA HATUA au VP? man wangu ......................................////
 
Mambo mengne mnazusha tu,siamin kama haya yote yanatokea udom.
 
Mambo mengne mnazusha tu,siamin kama haya yote yanatokea udom.
 
Visionmary said:
mwanafunzi unakusanya matokeo yako toka vitengo mbali mbali, na unajitegenezea transcrip yako kisha unaipeleka utawala wanakungongea tu muhuri imetoka!

We umesimuliwa af ukaja kupost hapa..JK alishawaambia akili za kupewa changanya na zako..kwanza unafahamu maana ya 'TRANSCRIPT'?..Kamuulize tena huyo jamaa yako maana yake af uje u edit post yk...
 
Back
Top Bottom